Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’
Ndoa ya Flora Mbasha na mume wake Emmanuel Mbasha bado ipo hai baada ya wawili hao kukubali kuifuta kesi ya talaka iliyodumu kwa takriban mwaka mmoja. Flora ndiye aliyefungua kesi hiyo baada ya kutokea mgogoro kwenye ndoa yao iliyosababishwa na kesi ya kudaiwa kubaka aliyoshtakiwa mumewe. Hata hivyo Emmanuel hivi karibuni alikuwa mtu huru baada […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Mar
Flora Mbasha: Nipo tayari kurudiana na mume wangu
Veronica Romwald na Jacqueline Swai (RCT), Dar es Salaam
MUIMBAJI wa muziki wa Injili, Flora Mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake Emmanuel Mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia miguuni na kumuomba msamaha.
Flora alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi wake juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili Mbasha ambayo inasikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.
“Mbasha nimemsamehe siku nyingi na nipo tayari kuishi naye iwapo atakuja...
10 years ago
Bongo525 Oct
Amber Rose: Nampenda, nammiss sana mume wangu (Wiz Khalifa)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MUME WA FLORA MBASHA KIZIMBANI KWA KESI YA UBAKAJI
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dV1tnoxKrQQ/VaSWIF1dmKI/AAAAAAAAxrs/hJQjTvEPGQ0/s72-c/ema%2Bmbasha.jpg)
KAUMBUKA! MUME wa FLORA MBASHA Akutwa na Hatia ya Kesi ya Ubakaji wa Shemeji Yake!
![](http://3.bp.blogspot.com/-dV1tnoxKrQQ/VaSWIF1dmKI/AAAAAAAAxrs/hJQjTvEPGQ0/s640/ema%2Bmbasha.jpg)
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imesema mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la ubakaji linalomkabili.Katika shtaka hilo Mbasha anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 17 (jina linahifadhiwa) ambaye ni shemeji yake.Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, mwendesha Mashtaka Munde Kalombola alidai mahakama imemkuta Mbasha na hatia baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili.Mbasha ambaye ni mume wa muimbaji maarufu wa muziki wa...
11 years ago
Mwananchi02 Jun
Mumewe Flora Mbasha ajitokeza, afichua siri
11 years ago
Habarileo18 Jun
Mume wa Flora Mbasha kizimbani
MUME wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ya ubakaji.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5CRyiDtdCh7-Pmwy-dDyyirrj8Dg2ScUmEvSGMrQGj4IfF5WGwZB-h--sIAazQJQvkg*H9hSaqOkUIG*FGyFQZ/SHAMSA.gif)
MUME: BADO NAMPENDA SHAMSA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MUME WA FLORA MBASHA APEWA DHAMANA