MUME: BADO NAMPENDA SHAMSA

ALIYEKUWA mzazi mwenziye na staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford, Dickson Matoke amesema kuwa ndani ya moyo wake bado anampenda sana na kumthamini mkewe huyo kama mama wa mtoto wake siku zote za maisha yake. Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford akiwa na aliyekuwa azazi mwenzake Dickson. Akichezesha taya na Amani, Dick alisema kuwa japokuwa wametengana na mzazi mwenziye huyo lakini ukweli unabaki kuwa yule ndiye mwanamke wa maisha yake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Oct
Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
11 years ago
Bongo525 Oct
Amber Rose: Nampenda, nammiss sana mume wangu (Wiz Khalifa)
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Selena Gomez: Bado nampenda Justin Bieber
NEW YORK, MAREKANI
MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Selena Gomez, ameibuka na kudai kwamba bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa RnB, Justin Beiber.
Wawili hao walianza uhusiano mwaka 2011, lakini miaka mitatu baadaye waliachana.
Hata hivyo, japokuwa wameachana, lakini mrembo huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumpenda msanii huyo kwa kuwa alimzoea na wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo.
“Siwezi kuzuia hisia zangu kwa Beiber, nitaendelea kumpenda milele kwa kuwa...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo525 May
Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala
10 years ago
Bongo Movies25 May
Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...
11 years ago
GPL
SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!