HONGERA†‬WEMAâ€, ‬DIAMOND ACHA TABIA ZA†‬KISWAZI
![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtEzwojALzilSUzHpJc84bZ42xqmU7TLRNMyzjpTgNeNCmPT9mtpcZVZoy8chp4ti1zPJH7kWHpkYJkEMA6MBtYot/150000080.jpg)
KWENU mastaa wawili wenye ‘taito’ ya juu ndani ya Bongo, Wema Isaack Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’, mambo vipi? Mko poa? Binafsi mimi ni mzima wa afya, namshukuru Mungu, naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Jukumu nililonalo kupitia ukurasa huu ni kuwakumbuka kupitia barua hii. Nikianza na Madam, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyofikia kisiasa. Umepata kura 90 na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Acha tabia hizi unapotumia vifaa vya mawasiliano
9 years ago
Mwananchi28 Nov
AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Funga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live… Acha Kabisa!
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake...
10 years ago
Bongo Movies26 May
Riyama Ajivunia Maneno ya Kiswazi
Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally, ameibuka na kusema anajivunia kuwa na manenona misemo ya kiswazi ambayo huzungumzwa na wanawake wanaishi sehemu za uswahilini ndiyo maana amekuwa akishirikishwa kwenye Filamu nyingi.
Akizungumza na Tanuru la Filamu jana, Rayama alisema kuwa filamu mpya iitwayo WOGA ambayo ipo madukani sasa imesababisha watu wengi wahisi kama ndivyo alivyo hata akiwa nyumbani kwake kwa sababu uhusika alioubeba huku unaonekana ndivyo tabia yake.
“Nine kila sababu...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Mjengo Mpya wa Wema… Utata!
Muonekano wa mjengo huo.
Stori: Na Musa Mateja
UTATA umegubika kuhusu umiliki wa mjengo aliohamia staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ambapo maswali yanayowasumbua wengi ni je, ameingia kwa kupanga au ameununua? Amani linakwenda sambamba na msomaji.
TUANZIE HAPA
Hivi karibuni, Wema aliyekuwa akiishi kwenye nyumba ya kupanga iliyopo Kijitonyama ya Makumbusho jijini Dar, alidaiwa kutimuliwa na mwenye nyumba baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka...
9 years ago
Mtanzania02 Jan
LULU, UWOYA, WEMA… pisheni njia
NA BADI MCHOMOLO
SINEMA mpya ya kimataifa ya Homecoming imekuja na vipaji vipya katika sinema za Kibongo, huku Magdalena Munisi akiibuka na kuwatishia amani madiva wa Bongo Muvi wanaotesa katika tasnia hiyo.
Mastaa wanaoonekana kufanya vizuri zaidi Bongo Muvi kwa sasa ni pamoja na Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Wema Sepetu, Rose Ndauka, Shamsa Ford na Aunt Ezekiel.
Magdalena ambaye katika sinema hiyo amecheza kama mpenzi wa Daniel Kijo aliyecheza kama ofisa wa benki aliyetokea...
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
Ni nini maana ya shughuli za kimwili?
WIKI iliyopita makala ililenga sababu na faida za mazoezi na hatari ya kukaa bila zoezi au maisha ya kutojishughulisha. Makala ya wiki hii tutajadili nini maana ya shughuli za kimwili ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-C*snTBrYpyQcMwspEWnoZi2aU5frnkZHgwnviBQnKbODCFKZsLO7vOz1TGZjZxh2ZKQZ*bv3-0lIqxtuvAFyih/wema.jpg?width=650)
MAMA KANUMBA: WEMA ZAA FASTA