Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!

Tasnia ya muziki Afrika Mashariki kwa namna moja au nyingine imeonekana kupiga hatua, huku wasanii wenyewe wakiendelea kuzitangaza nchi zao kimataifa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Sauti Sol waongezeka kwenye tuzo za MTVEMA, kuchuana na Diamond na Davido

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTVEMA 2014 yametangazwa rasmi na sasa watu wanaweza kuanza kupiga kura. Kundi la Sauti Sol la Kenya limeongezea kwenye kipengele cha Best African Act kwenye tuzo za MTV Europe. Awali majina manne tu yalikuwa yametangazwa ambayo ni pamoja Davido,Toofan, Diamond na Goldfish. Hii ni orodha nzima. BEST AFRICAN ACT […]

 

10 years ago

Bongo5

Iyanya amponda Jaguar amuita ‘mshari na mjivuni’, amsifia Diamond na Sauti Sol

Muimbaji wa Nigeria, Iyanya ameamua kujibu tuhuma alizotupiwa na msanii wa Kenya, Jaguar kuwa hakumpa ushirikiano kwenye video ya remix aliyomshirikisha ya wimbo wake ‘One Centimenter’ Jaguar alidai kuwa baada ya kushoot video hiyo kwa kubembelezana alimtumia Iyanya ili aisambaze kwenye vituo vya TV nchini humo na kwamba hakufanya hivyo. Akiongea na Radio Maisha ya […]

 

9 years ago

Bongo5

Sauti Sol wafurahia kumpa kijiti Diamond kwenye MTV EMA 2015

Kwa miaka miwili mfululizo, kipengele cha Best African Act cha tuzo za MTV EMA kimeendelea kubaki Afrika Mashariki. Baada ya mwaka jana Sauti Sol kushinda, wamempa kijiti Diamond Platnumz ambaye sasa anashindana na muigizaji wa India, Priyanka Chopra kwenye kipengele kinachohusisha Afrika na India. Sauti Sol wameonesha kufurahia kumpa Diamond kijiti cha tuzo hiyo na […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz, Sauti Sol and Patoranking rocks Vuzu Amp 1st Anniversary #OnlyTheBest

By Zainul Mzige, Modewjiblog

Whether you like it or not Diamond Platnmuz he is the best. The gentleman from Dar es salaam Tanzania changed the air after rocking in the so much fun Content Showcase extravaganza #OnlyTheBest at the Outrigger Beach Resort, Bel Ombre in the South Coast of Mauritius

More than 200 people, including representatives from different local and international channels and journalists, who converged in Mauritius for the MultiChoice Africa extravaganza, applauded the boy...

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Sauti Sol – Relax

relax

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

9 years ago

Habarileo

Sauti Sol watua, kutumbuiza leo

KUNDI mahiri la muziki nchini Kenya la Sauti Sol jana liliwasili nchini tayari kwa onesho kabambe la muziki la Party in the Park litakalofanyika kwenye viwanja vya Farasi nyuma ya shule ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Sauti Sol washangazwa na mashabiki Marekani

SAUTI SOLNEW YORK, MAREKANI

KUNDI la Sauti Sol kutoka nchini Kenya, juzi lilijikuta likishangazwa na idadi kubwa ya watu katika jiji la New York nchini Marekani, kabla ya onyesho lao katika ukumbi wa Central Park nchini humo.

Sauti Sol wako nchini Marekani kwa ajili ya tamasha la kimataifa la Global Citizen linalowakutanisha wasanii mbalimbali ambapo watu zaidi ya 60,000 wanakadiriwa walihudhuria tamasha hilo.

Tamasha hilo limeandaliwa kwa ajili ya kukuza elimu, kutetea haki za wakimbizi na kujadili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani