Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sauti Sol washangazwa na mashabiki Marekani

SAUTI SOLNEW YORK, MAREKANI

KUNDI la Sauti Sol kutoka nchini Kenya, juzi lilijikuta likishangazwa na idadi kubwa ya watu katika jiji la New York nchini Marekani, kabla ya onyesho lao katika ukumbi wa Central Park nchini humo.

Sauti Sol wako nchini Marekani kwa ajili ya tamasha la kimataifa la Global Citizen linalowakutanisha wasanii mbalimbali ambapo watu zaidi ya 60,000 wanakadiriwa walihudhuria tamasha hilo.

Tamasha hilo limeandaliwa kwa ajili ya kukuza elimu, kutetea haki za wakimbizi na kujadili...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!

Tasnia ya muziki Afrika Mashariki kwa namna moja au nyingine imeonekana kupiga hatua, huku wasanii wenyewe wakiendelea kuzitangaza nchi zao kimataifa.

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Sauti Sol – Relax

relax

Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya liliumaliza mwaka 2015 likiwa limepeleka sokoni album yao ya tatu, ‘Live and Die in Africa’ ambayo ina mkusanyiko wa hits zao zilizotoka na ambazo hazijatoka. Sauti wanaukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuachia video mpya ya ‘Relax’, wimbo unaopatikana kwenye album hiyo. Itazame hapa

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

10 years ago

CloudsFM

MAREKANI WASHANGAZWA NA STORI ZA T.I KUHUSU TANZANIA, AKANUSHA KUWEPO KWA EBOLA

STAA wa Hip Hop kutoka nchini Marekani T.I Jumamosi iliyopita alipafomu kwenye tamasha la serengeti fiesta kinondoni, leaders club, ikiwa ni siku mbili tu kabla ya kuachia album yake iitwayo ‘’paper work’’, na ilikuwa ni katika kipindi ambacho Wamarekani wengi walikuwa wanaamini Afrika nzima inakabiliwa na gonjwa la Ebola.
Baada ya kurudi Marekani msanii huyo amekuwa akiulizwa mara nyingi kuhusu ishu hiyo ya Ebola na yeye amekuwa balozi mzuri wa Tanzania kwa kukanusha uvumi ambao huenda...

 

9 years ago

Mtanzania

Sauti Sol kutafuta wachumba Tanzania

SAUTI-SOLNairobi, Kenya

KUNDI linalofanya vizuri na wimbo wao wa ‘Nerea’ kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, limetangaza kutafuta wachumba wa kuoa nchini Tanzania, huku wakiwaomba radhi wasichana wa Kenya.

“Samahani kwa wasichana wa nchini Kenya kutokana na maamuzi yetu ya kutaka kuoa huku Tanzania. Dar es Salaam? Kwa sasa tunatafuta warembo wa kuwaoa,” waliandika wasanii hao kupitia akauti yao ya Twitter.

Wasanii hao kwa sasa wanafanya vizuri nchini humo na wamefanikiwa kuchukua tuzo mbalimbali nje ya...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Sauti Sol — Sura Yako

Huu ni Wimbo mpya wa Sauti Sol wasanii kutoka Kenya baada ya kuachia video ya wimbo huu sikiliza audio hapa wimbo unaitwa “Sura Yako”

 

9 years ago

Habarileo

Sauti Sol watua, kutumbuiza leo

KUNDI mahiri la muziki nchini Kenya la Sauti Sol jana liliwasili nchini tayari kwa onesho kabambe la muziki la Party in the Park litakalofanyika kwenye viwanja vya Farasi nyuma ya shule ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Sauti Sol, Mafikizolo wakonga Dar

KUNDI la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini pamoja na kundi la Sauti Sol kutoka Kenya juzi walizikonga nyoyo za mashabiki wao katika tamasha la Party in the Park lililofanyika Oysterbay, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani