New Music: Sauti Sol — Sura Yako
Huu ni Wimbo mpya wa Sauti Sol wasanii kutoka Kenya baada ya kuachia video ya wimbo huu sikiliza audio hapa wimbo unaitwa “Sura Yako”
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Sauti Sol wadondosha single mpya ‘Sura Yako’
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
Listen to a Brand New Song by SAUTI SOL — Sura Yako
New single Sura Yako (Swahili for Your Face) by East Africa’s top band Sauti Sol (Kenya). The song is the third single off the group’s third album “Live and Die in Africa” dropping this year. Sura Yako is written and produced by Sauti Sol under Sauti Sol Entertainment.
11 years ago
Bongo524 Oct
Video: Sauti Sol wamuimbisha Iyanya Kiswahili (Sura Yako Remix)
10 years ago
Africanjam.Com26 Jul
VIDEO: WATCH BARACK OBAMA DANCING THE SONG "SURA YAKO" BY "SAUTI SOL" AT THE STATE HOUSE IN KENYA

Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
Bongo514 Sep
Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House
9 years ago
Bongo509 Nov
Music: Mi Casa ft. Sauti Sol — Tulale Fofofo

Makundi maarufu ya muziki barani Afrika, Mi Casa Music la Afrika Kusini na Sauti Sol la Kenya yaliingia studio mwezi March mwaka huu kufanya collabo, na sasa wimbo huo umetoka.
Wakati Sauti SOl na Micasa wakirekodi wimbo huo
‘Tulale Fofofo’ ni wimbo wa Mi Casa wakiwa wamewashirikisha Sauti Sol unaopatikana kwenye album mpya ya Mi Casa, ‘Home Sweet Home’ ambayo tayari imetoka.
Usikilize hapa
Tutale Fofofo (bongo5.com)
9 years ago
Michuzi06 Jan
SAUTI SOL RELEASE “RELAX†BRAND NEW MUSIC VIDEO
The video of RELAX features behind the scenes video clips of the group's 2015 shows, tours and events, summing up what was a successful year for Sauti Sol. From Rwanda to USA, they include Sauti Sol’s debut at Kigali Up Festival,...
5 years ago
Bongo514 Feb
Music: Bebe Cool x Sauti Sol – Mbozi Za Malwa
Msanii Bebe Cool kutoka Uganda na kundi la Saut Sol kutoka Kenya wameachia wimbo unaitwa “Mbozi Za Malwa”.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
10 years ago
Vijimambo