Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Bebe Cool x Sauti Sol – Mbozi Za Malwa

Msanii Bebe Cool kutoka Uganda na kundi la Saut Sol kutoka Kenya wameachia wimbo unaitwa “Mbozi Za Malwa”.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Bebe Cool — Everywhere I Go

Video ya wimbo mpya Bebe Cool, Everywhere I Go kutoka kwenye album yake, Go Mama Album 2015. Video imeongozwa na God Productions.

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Patty Monroe + Bebe Cool – Killin It

monroe

Ngoma mpya ya msanii wa Afrika Kusini, Patty Monroe aliyomshirikisha Bebe Cool wa Uganda, Killin It.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Sauti Sol — Sura Yako

Huu ni Wimbo mpya wa Sauti Sol wasanii kutoka Kenya baada ya kuachia video ya wimbo huu sikiliza audio hapa wimbo unaitwa “Sura Yako”

 

9 years ago

Bongo5

Music: Mi Casa ft. Sauti Sol — Tulale Fofofo

Sauti na Micasa

Makundi maarufu ya muziki barani Afrika, Mi Casa Music la Afrika Kusini na Sauti Sol la Kenya yaliingia studio mwezi March mwaka huu kufanya collabo, na sasa wimbo huo umetoka.

Sauti na Micasa
Wakati Sauti SOl na Micasa wakirekodi wimbo huo

‘Tulale Fofofo’ ni wimbo wa Mi Casa wakiwa wamewashirikisha Sauti Sol unaopatikana kwenye album mpya ya Mi Casa, ‘Home Sweet Home’ ambayo tayari imetoka.

Usikilize hapa
Tutale Fofofo (bongo5.com)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

10 years ago

Bongo5

Bebe Cool wa Uganda kutumbuiza Big Brother Hotshots Nov 30

Msanii wa Uganda Bebe Cool ndiye atakayetoa burudani kwa washiriki na watazamaji wa Big Brother Africa Hotshots kwenye eviction show ya Jumapili Nov 30. “Am proud to announce that on the 30th of November 2014,I will be representing UGANDA in the big brother house performance.‪#‎team‬ ELLAH let’s keep our gal in the house till then […]

 

9 years ago

Michuzi

SAUTI SOL RELEASE “RELAX” BRAND NEW MUSIC VIDEO

​​Multiple award-winning group Sauti Sol release the music video of RELAX, the seventh single off their new album: Live and Die in Afrika (released Nov 21st 2015). RELAX is a bona fide feel-good track and a dedication to all Sauti Sol fans, and music fans worldwide. 
The video of RELAX features behind the scenes video clips of the group's 2015 shows, tours and events, summing up what was a successful year for Sauti Sol. From Rwanda to USA, they include Sauti Sol’s debut at Kigali Up Festival,...

 

11 years ago

Bongo5

New Music: Sauti Sol wadondosha single mpya ‘Sura Yako’

Kundi lenye members wanne la Sauti Sol kutoka Kenya, limeachia wimbo mpya uitwao ‘Sura Yako’, ikiwa ni single ya nne kutoka kwenye album yao ‘Live and Die in Africa’ inayotarajiwa kutoka kabla mwaka huu kuisha. Wimbo huu umefuata baada ya ‘Nishike’ iliyotoka miezi michache iliyopita.

 

10 years ago

Michuzi

SAUTI SOL IN DAR ES SALAAM FOR BEAUTY AND MUSIC NIGHT. ESCAPE1. August 30.


BEAUTY AND MUSIC NIGHT. Siku zinazidi kukaribia hadi Tarehe 30 August ambapo Kwenye Stage watakuwepo Sauti Sol, Yamoto, Skylight Band pamoja na Mirror. Hii show siyo ya kukosa. Pia Kutawepo na Red Carpet na ofa ya kupiga picha kali kwa watu wote watakongia. Njoo usikilize ladha ya muziki wa live katika Stage, Sound lights za Kisasa kabisa kutoka Legendary Music Company.  VENUE. ESCAPE 1 MIKOCHENI. KIINGILIO. 15,000Tshs/- Ticket za VIP zinapatikana kwa 50,000Tshs/- Unaweza kupiga simu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani