Music: Mi Casa ft. Sauti Sol — Tulale Fofofo
Makundi maarufu ya muziki barani Afrika, Mi Casa Music la Afrika Kusini na Sauti Sol la Kenya yaliingia studio mwezi March mwaka huu kufanya collabo, na sasa wimbo huo umetoka.
Wakati Sauti SOl na Micasa wakirekodi wimbo huo
‘Tulale Fofofo’ ni wimbo wa Mi Casa wakiwa wamewashirikisha Sauti Sol unaopatikana kwenye album mpya ya Mi Casa, ‘Home Sweet Home’ ambayo tayari imetoka.
Usikilize hapa
Tutale Fofofo (bongo5.com)
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Oct
New Music: Sauti Sol — Sura Yako
5 years ago
Bongo514 Feb
Music: Bebe Cool x Sauti Sol – Mbozi Za Malwa
Msanii Bebe Cool kutoka Uganda na kundi la Saut Sol kutoka Kenya wameachia wimbo unaitwa “Mbozi Za Malwa”.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
9 years ago
Michuzi06 Jan
SAUTI SOL RELEASE “RELAX†BRAND NEW MUSIC VIDEO
The video of RELAX features behind the scenes video clips of the group's 2015 shows, tours and events, summing up what was a successful year for Sauti Sol. From Rwanda to USA, they include Sauti Sol’s debut at Kigali Up Festival,...
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Sauti Sol wadondosha single mpya ‘Sura Yako’
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wlCC8HFVDfo/U_DL81juAXI/AAAAAAAGASs/FbaR38ziYJM/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
SAUTI SOL IN DAR ES SALAAM FOR BEAUTY AND MUSIC NIGHT. ESCAPE1. August 30.
![](http://3.bp.blogspot.com/-wlCC8HFVDfo/U_DL81juAXI/AAAAAAAGASs/FbaR38ziYJM/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
BEAUTY AND MUSIC NIGHT. Siku zinazidi kukaribia hadi Tarehe 30 August ambapo Kwenye Stage watakuwepo Sauti Sol, Yamoto, Skylight Band pamoja na Mirror. Hii show siyo ya kukosa. Pia Kutawepo na Red Carpet na ofa ya kupiga picha kali kwa watu wote watakongia. Njoo usikilize ladha ya muziki wa live katika Stage, Sound lights za Kisasa kabisa kutoka Legendary Music Company. VENUE. ESCAPE 1 MIKOCHENI. KIINGILIO. 15,000Tshs/- Ticket za VIP zinapatikana kwa 50,000Tshs/- Unaweza kupiga simu...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/BS02l0cw140/default.jpg)
9 years ago
Bongo517 Sep
Video: Sauti Sol — Isabella (Official Music Video)
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...