Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA wagoma

SIKU moja baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha Katiba inayopendekezwa, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umegoma kutambua matokeo ya kura zilizopigwa kupitisha Katiba hiyo. UKAWA ambao unaundwa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

BUNGE LA KATIBA: UKAWA WAGOMA KURUDI BUNGENI

Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) akiwahutubia wananchi waliojitokeza kukiunga mkono chama hicho katika viwanja vya Welfare (Orofea) mkoani Iringa. Na Mathias Canal, Kwanza Jamii-Iringa. Ukawa waendelea na msimamo wa kutorejea kwenye  bunge la katiba kutokana na katiba hiyo kutokidhi matakwa ya watanzania walioshiriki kutoa maoni yao ambayo kwa sasa yamebadilishwa na kuwa mawazo ya wachache. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alipozungumza na Kwanza...

 

10 years ago

Dewji Blog

UDA wagoma!

418187_10150720984938420_416779873_n

Na Mwandishi wetu

MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.

Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.

Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...

 

11 years ago

Habarileo

Daladala wagoma

WANANCHI jijini Mwanza jana walikumbana na adha ya usafiri baada ya madereva wa daladala kugoma bila taarifa kwa madai kuwa wamekuwa wakisababishiwa kero ya faini ya Polisi wa Usalama Barabarani pamoja na kupinga kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Buzuruga.

 

11 years ago

Habarileo

Wahadhiri Udom wagoma

WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamegoma kusimamia mitihani wakishinikiza malipo ya posho za usimamizi wanazodai tangu muhula wa masomo uliopita. Mgomo wa wanataaluma hao wa Shule ya Sayansi ya Jamii katika chuo hicho, umeathiri wanafunzi zaidi ya 2,000 waliokuwa wafanye mtihani jana.

 

11 years ago

GPL

WANACHUO NIT WAGOMA

Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wanaolipiwa na Bodi ya Mikopo wakimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo hicho aliyekuwa akiongea nao. Makamu Mkuu wa Chuo akijaribu kuwatuliza wanachuo hao kwa kuwaahidi kushughulikia suala…

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi TAZARA wagoma

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva UDA wagoma

MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi wagoma

ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.

 

10 years ago

GPL

WAFANYABIASHARA MUSOMA WAGOMA

Hayo ni baadhi ya maduka ya wafanyabiashara wa Musoma yaliyofungwa. Maduka ya dawa yakiwa yamefungwa pia. Wafanyabishara Musoma wamegoma kuendelea na biashara wakishinikiza T.R.A kurekebisha mashine  za kodi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani