Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahadhiri Udom wagoma

WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamegoma kusimamia mitihani wakishinikiza malipo ya posho za usimamizi wanazodai tangu muhula wa masomo uliopita. Mgomo wa wanataaluma hao wa Shule ya Sayansi ya Jamii katika chuo hicho, umeathiri wanafunzi zaidi ya 2,000 waliokuwa wafanye mtihani jana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wahadhiri wa vyuo vya umma wagoma Kenya

Mafunzo katika vyuo vikuu vya umma nchini Kenya yameathirika baada ya wahadhiri wa vyuo kuanza rasmi mgomo wa kitaifa.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI UDOM WAGOMA WAKIDAI PESA ZAO ZA MIKOPO KWA AJILI YA KUJIKIMU

Wnafunzi wa UDOM wakiwa katika mgomo wakishinikiza serikali kuwalipa pesa zao za kujikimu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa akiwatuliza na wanachuo. Wakiwasikiliza Naibu Waziri wa Afya Steven Kebwe na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.…

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI UDOM, DUCE WAGOMA, MADAI NI KAMA YALE YA WENZAO WA UDSM. WANADAI MIKOPO ITOLEWE

WANAFUNZI wa vyuo vikuu vya UDOMA, Mkoani Dodoma ni kile cha DUCE jijini Dar es Salaam, waliamua kuacha masomo na kugoma kushinikiza bodi ya mikopo kulipa mikopo yao. Mgomo huo unakuja siku mbili tu baada ya wenzao wa UDSM kugoma kwa madai kama hayo na hatimaye siku iliyofuatia wakalipwa. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alilazimika kumtuma naibu waziri wa Afya Steven Kebwe na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa ili kutuliza "mzuka" wa wanafunzi ambapo baadhi yao walilia kwa uchunghu kama Eva...

 

10 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI - Airtel yazinduzi mnara wa pili UDOM

 Afisa masoko wa Airtel tanzania Prospa Mwanda akionyesha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu dodoma (UDOM) jinsi huduma mpya ya Airtel Wi-Fi Intaneti  inavyofanya kazi mara baada ya uzinduzi wa huduma hiyo chuoni hapo jana. Airtel Tanzania chuoni hupo imezindua huduma ya UNI Wi-Fi Intaneti yenye ubora zaidi na itakayopatikana kwa wananfunzi kwa gharama nafuu
 Meneja masoko wa Airtel Uni Wi-Fi Bi Aneth Muga anaepiga picha ya selfie ili waitume kwa kutumia huduma ya Airtel Wi-Fi intaneti kwa baadhi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Wahadhiri Mzumbe wapewa motisha

WAHADHIRI wa Chuo Kikuu Mzumbe wametakiwa kuendelea kufanya utafiti, ushauri wa kitaalamu na kutoa machapisho mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya tasnia ya elimu na taifa kwa ujumla.

 

10 years ago

Habarileo

Wahadhiri 398 wasomeshwa na serikali

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru KawambwaWAHADHARI 398 wamesomeshwa na serikali ndani ya miaka mitano ikiwa ni mkakati wa kuongeza wanataaluma hao ili idadi iendane na ongezeko la vyuo na wanafunzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahadhiri walia hali ngumu

WAHADHIRI mbalimbali wa vyuo vikuu nchini wamelalamikia hali ngumu inayowakabili kutokana na serikali kuchelewa kuwalipa mshahara wa Desemba mwaka jana. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kwa nyakati tofauti, wahadhiri hao...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete: Vyuo vikuu visitegemee wahadhiri ‘wazee’

Rais Jakaya Kikwete amevitaka vyuo vikuu nchini kuwaandaa vijana kuwa wahadhiri badala ya kutegemea wastaafu.

 

11 years ago

Michuzi

Dkt.Shein azungumza na Wahadhiri Chuo Kikuu Cairo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,unaoongozwa na Prof. Ibrahim Elsayed Gaber, (wa pili kulia) ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kushoto) Mshauri wa Rais mambo ya Nje ya nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani