Wahadhiri walia hali ngumu
WAHADHIRI mbalimbali wa vyuo vikuu nchini wamelalamikia hali ngumu inayowakabili kutokana na serikali kuchelewa kuwalipa mshahara wa Desemba mwaka jana. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kwa nyakati tofauti, wahadhiri hao...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Hali ni ngumu Bandari Tanga
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Waziri wa Fedha akiri hali ngumu
11 years ago
Mwananchi03 Aug
Jaji Mutungi: Hali ngumu Katiba mpya
9 years ago
Bongo527 Oct
Kampeni zimewaokoa wasanii wa filamu, wengi walikuwa na hali ngumu ya kiuchumi — Mwakifamba
11 years ago
Habarileo17 Jun
Wahadhiri Udom wagoma
WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamegoma kusimamia mitihani wakishinikiza malipo ya posho za usimamizi wanazodai tangu muhula wa masomo uliopita. Mgomo wa wanataaluma hao wa Shule ya Sayansi ya Jamii katika chuo hicho, umeathiri wanafunzi zaidi ya 2,000 waliokuwa wafanye mtihani jana.
10 years ago
Habarileo10 Dec
Wahadhiri Mzumbe wapewa motisha
WAHADHIRI wa Chuo Kikuu Mzumbe wametakiwa kuendelea kufanya utafiti, ushauri wa kitaalamu na kutoa machapisho mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya tasnia ya elimu na taifa kwa ujumla.
10 years ago
Habarileo23 Feb
Wahadhiri 398 wasomeshwa na serikali
WAHADHARI 398 wamesomeshwa na serikali ndani ya miaka mitano ikiwa ni mkakati wa kuongeza wanataaluma hao ili idadi iendane na ongezeko la vyuo na wanafunzi.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Kikwete: Vyuo vikuu visitegemee wahadhiri ‘wazee’