Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampeni zimewaokoa wasanii wa filamu, wengi walikuwa na hali ngumu ya kiuchumi — Mwakifamba

Rais wa Shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema ameshikwa na huzuni baada ya kushuhudia maisha ya wasanii wa filamu yakishuka ghafla kutokana na kazi zao kutowaingizia fedha. Mwakifamba ameuambia mtandao wa FilamuCentral kuwa wasanii wengi wamekosa msaada kutokana na kukosa sehemu ya kuuza kazi zao na kwamba kampeni zimeokoa jahazi. “Tasnia ya filamu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache

Rapper Stamina anaamini kuwa tasnia ya filamu nchini inashindwa kwenda mbele zaidi kutokana na waigizaji wengi kutokuwa na vipaji bali wanatafuta umaarufu na pesa. Stamina amesema anashindwa kukaa na kuangalia filamu za siku hizi kwakuwa zimekosa waigizaji mahiri. “Unajua kuangalia filamu kuna raha yake kama utakuta waigizaji ambao wanajua kazi yao. Sio o hawa wanaotafuta […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Katibu wa Shirikisho la Filamu ang’olewa Uongozi, Alitaka kumng’oa Mwakifamba

Bodi ya  shirikisho la filamu hapa  nchini lamemuondoa taff  Bishop Hiluka kuwa katibu wa shirikisho hilo kwa kusuka mipango ya kumng’oa Rais Mwakifwamba

NI kikao kilichochukua zaidi ya saa nane kujadili agenda kadhaa lakini iliyoonyesha kuwa ni hatari na kuchukua muda wa wajumbe ilikuwa ni mikakati inayosemekana kusukwa na katibu Bishop Hiluka kutaka kumng’oa rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba, hatimaye Bodi kwa kupiga kura ikafikia muafaka kuwa katibu aachie ngazi na...

 

9 years ago

Bongo5

Dar kuna wasanii wengi wakali ila wengi hawana nidhamu — Producer T-Touch

Miongoni mwa vitu vinavyoikamilisha ‘package’ ya msanii mzuri ukiachilia mbali kipaji ni pamoja na nidhamu ya kazi, pamoja na watu wanaomzunguka msanii wakiwemo mashabiki. Producer T-Touch amesema kuwa msanii bila kuwa na nidhamu ni ngumu kufanya vizuri hata kama ana kipaji. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio producer huyo aliyefanya hits ikiwemo ‘Muziki Gani’ […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mambo ya kifedha yanayofaa kuzingatiwa katika nyakati ngumu za kiuchumi

Wataalamu wa masuala ya fedha wanashauri masuala kadhaa ili kudhibiti matumizi ya fedha wakati huu wa changamoto ya kiuchumi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahadhiri walia hali ngumu

WAHADHIRI mbalimbali wa vyuo vikuu nchini wamelalamikia hali ngumu inayowakabili kutokana na serikali kuchelewa kuwalipa mshahara wa Desemba mwaka jana. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kwa nyakati tofauti, wahadhiri hao...

 

11 years ago

Mwananchi

Hali ni ngumu Bandari Tanga

Bandari ya Tanga imepoteza kiasi kikubwa cha mapato kutokana na hatua ya Serikali kusitisha shughuli za uagizaji na upakuaji mafuta kupitia bandari hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha akiri hali ngumu

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amekiri Serikali kuwa katika hali ngumu, lakini akasema kuwa mkakati uliopo ni kudhibiti matumizi ili yaendane na fedha iliyopo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu

Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment  kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi  shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;

"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani