Dar kuna wasanii wengi wakali ila wengi hawana nidhamu — Producer T-Touch
Miongoni mwa vitu vinavyoikamilisha ‘package’ ya msanii mzuri ukiachilia mbali kipaji ni pamoja na nidhamu ya kazi, pamoja na watu wanaomzunguka msanii wakiwemo mashabiki. Producer T-Touch amesema kuwa msanii bila kuwa na nidhamu ni ngumu kufanya vizuri hata kama ana kipaji. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio producer huyo aliyefanya hits ikiwemo ‘Muziki Gani’ […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Wasanii wengi Bongo ni wanaweza, hawana nyota tu — Christian Bella
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Lucy Komba: Nimeibua Wasanii Wengi, Baadhi yao Hawana Shukrani
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Lucy Komba amefunguka hayo leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Nimeibua wasanii wengi ila wasio na shukrani wachache, wengine wanakubali na kunishukuru popote wanapoulizwa, nami natanguliza shukrani zangu za dhati na Mungu atawabariki na mtafika mbali zaidi.
Wengine walikuja mikono nyuma na kunipigia magoti kuomba niwaingize kwenye filam na nikafanya hivyo huku wakilalamika wakina fulani wakiwaomba misaada wanawatukana na mimi ndiyo kimbilio lao, kwa...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Mr. T Touch: Nidhamu inapoteza wasanii
NA MWANDISHI WETU
PRODYUZA wa muziki nchini, T Touch amesema wasanii wengi wanapotea kwenye muziki kwa kuwa hawana nidhamu ya muziki na wanaowazunguka.
“Wasanii wengi waliofanikiwa na kufikia malengo yao wana nidhamu kubwa kwa wanaowazunguka hasa wadau na mashabiki wa muziki, hapa nyumbani kuna vipaji vingi lakini vinapotea kwa kukosa nidhamu hasa wanapoanza kuona mafanikio.
“Wasanii wengi ninaokutana nao katika kazi yangu huwa na nidhamu wanapokuja kuomba kufanyakazi nami lakini baadhi yao...
11 years ago
Habarileo25 Mar
‘Wahitimu wengi hawana uelewa’
BAADHI ya wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini, wameelezwa licha ya kumaliza vyuo na kupata vyeti kwa ngazi mbalimbali bado hawana uelewa wa kutosha kwa mambo wanayosomea.
10 years ago
Habarileo24 Sep
‘Wengi hawana uelewa wa Katiba’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimebaini Watanzania wengi hasa walio mikoa ya pembezoni, kutokuelewa kuhusu mchakato wa Katiba mpya unaoendelea.
11 years ago
Mwananchi31 Dec
‘Wajasiriamali wengi nchini hawana elimu’
10 years ago
Habarileo19 Dec
‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’
WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
11 years ago
Habarileo03 Aug
Watoto wengi hawana lishe bora
WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.
10 years ago
Mtanzania26 Mar
‘Vijana wengi hawana nguvu za kiume’
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.
Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya...