Katibu wa Shirikisho la Filamu ang’olewa Uongozi, Alitaka kumng’oa Mwakifamba
Bodi ya shirikisho la filamu hapa nchini lamemuondoa taff Bishop Hiluka kuwa katibu wa shirikisho hilo kwa kusuka mipango ya kumng’oa Rais Mwakifwamba
NI kikao kilichochukua zaidi ya saa nane kujadili agenda kadhaa lakini iliyoonyesha kuwa ni hatari na kuchukua muda wa wajumbe ilikuwa ni mikakati inayosemekana kusukwa na katibu Bishop Hiluka kutaka kumng’oa rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba, hatimaye Bodi kwa kupiga kura ikafikia muafaka kuwa katibu aachie ngazi na...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo527 Oct
Kampeni zimewaokoa wasanii wa filamu, wengi walikuwa na hali ngumu ya kiuchumi — Mwakifamba
5 years ago
CCM BlogMEYA IRINGA ANG'OLEWA
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika kikao maalum cha madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Akitangaza matokeo ya kura zilizopigwa, mwenyekiti wa kikao ambaye pia ni Naibu...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Spika Eala ang’olewa madarakani
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Kijana ang'olewa meno 232
Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye umri wa miaka 17 aliyekuwa akipata maumivu ndani ya kinywani .
Dr Sunanda Dhiware, mkuu wa Kitengo cha tiba ya meno katika hospitali ya JJ mjini Mumbai ameiambia BBC kuwa wamefanikiwa kuyang’oa meno 232 kinywani mwa Ashik aliyeletwa hospitalini hapo akiwa amevimba taya huku akilalamika kwa maumivu makali.
Madaktari wamesema wamelazimika kutumia nyundo na tindo kuyatoa meno hayo na wakadai...
10 years ago
StarTV18 Dec
Spika Zziwa ang’olewa rasmi.
Na Magesa Magesa
Arusha.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dokta Margret Zziwa ameng’olewa rasmi katika nafasi yake leo katika kikao cha dharura cha Bunge hilo kilichofanyika jijini Arusha leo.
Bunge hilo limekutana baada ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kutupilia mbali maombi ya Spika Zziwa ya zuio la muda dhidi ya kikao hicho ambacho kilikuwa na hoja ya kupokea, kujadili na kuamua taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Spika kutoka Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka...
10 years ago
Mtanzania18 Dec
Spika wa Bunge EALA ang’olewa
NA ABRAHAM GWANDU, ARUSHA,
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margreth Zziwa, jana ameng’olewa kushika wadhifa huo baada ya wabunge 36 kati ya 49 kupiga kura za ndiyo kutokuwa na imani naye kutokana na kile kilichoelezwa ameshindwa kuongoza Bunge hilo.
Kabla ya kufikia uamuzi wa kupiga kura, Kamati ya Bunge ya Sheria, Hadhi na Madaraka ya Bunge hilo ilipewa jukumu la kuchunguza tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabili ikiwamo kuwapendelea baadhi ya wabunge, kushindwa kufuata kanuni...
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Maajabu:Kijana ang'olewa meno 232
10 years ago
BBCSwahili18 Dec
Spika Zziwa ang'olewa Afrika Mashariki
10 years ago
Habarileo18 Dec
Spika Bunge Afrika Mashariki ang’olewa
SPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margaret Zziwa hatimaye ameng’olewa na baadhi ya Wabunge wa Bunge hilo.