MEYA IRINGA ANG'OLEWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-bGJ3jKbGDcM/Xn9Bc-00ELI/AAAAAAAC19Q/wRaPaH90QY8hlUPRlJKfYJDEUuLiwDWdgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Iringa limemwondoa Meya wa Manispaa ya iringa-Chadema Alex Kimbe baada ya kupiga kura ya kutokuwa na imani nae kufuatia tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka
Kimbe ambaye anatokana na chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema ameng’olewa madarakani leo Jumamosi Machi 28, 2020 katika kikao maalum cha madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo.
Akitangaza matokeo ya kura zilizopigwa, mwenyekiti wa kikao ambaye pia ni Naibu...
CCM Blog