Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahadhiri Mzumbe wapewa motisha

WAHADHIRI wa Chuo Kikuu Mzumbe wametakiwa kuendelea kufanya utafiti, ushauri wa kitaalamu na kutoa machapisho mbalimbali ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya tasnia ya elimu na taifa kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)



Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) Novemba 29, 2014 Isumba Lounge


Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014 kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

11 years ago

Habarileo

Wahadhiri Udom wagoma

WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wamegoma kusimamia mitihani wakishinikiza malipo ya posho za usimamizi wanazodai tangu muhula wa masomo uliopita. Mgomo wa wanataaluma hao wa Shule ya Sayansi ya Jamii katika chuo hicho, umeathiri wanafunzi zaidi ya 2,000 waliokuwa wafanye mtihani jana.

 

10 years ago

Habarileo

Wahadhiri 398 wasomeshwa na serikali

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru KawambwaWAHADHARI 398 wamesomeshwa na serikali ndani ya miaka mitano ikiwa ni mkakati wa kuongeza wanataaluma hao ili idadi iendane na ongezeko la vyuo na wanafunzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahadhiri walia hali ngumu

WAHADHIRI mbalimbali wa vyuo vikuu nchini wamelalamikia hali ngumu inayowakabili kutokana na serikali kuchelewa kuwalipa mshahara wa Desemba mwaka jana. Wakizungumza na Tanzania Daima jana kwa nyakati tofauti, wahadhiri hao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Motisha juu wahudumu wa Ebola

Marekani imeongeza motisha kwa wanaowahudumia watu walio athiriwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola huklo Afrika Magharibi.

 

10 years ago

BBCSwahili

B Rodgers: Motisha wa Liverpool umeshuka

Mkufunzi wa Liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa kikosi chake kinakabiliwa na wakati mgumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete: Vyuo vikuu visitegemee wahadhiri ‘wazee’

Rais Jakaya Kikwete amevitaka vyuo vikuu nchini kuwaandaa vijana kuwa wahadhiri badala ya kutegemea wastaafu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani