Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt.Shein azungumza na Wahadhiri Chuo Kikuu Cairo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,unaoongozwa na Prof. Ibrahim Elsayed Gaber, (wa pili kulia) ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kushoto) Mshauri wa Rais mambo ya Nje ya nchi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BOT

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki  Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga alipofika Ikulu Jijini Zanzibar  kwa  mazungumzo  na Rais  akiongozana na Ujumbe wake (kulia)  yaliofanyika katika wa ukumbi wa Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, alipofika Ikulu...

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WASANII NA WABUNIFU ZANZIBAR.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wasanii mbalimbali wa Unguja na Pemba katika mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo 12-3-2020.(Picha na Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wasanii mbalimbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika leo ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Miundimbinu na Mawasiliano katika Utekelezaji wa Mpango kazi wa robo mwaka kutoka Julai-Machi 2013/2014,ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA ELIMU,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni. Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Membe azungumza na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Thomas cha Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na kiongozi wa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha St. Thomas, Fr. Jean-Piere Bongilo kilichopo  Minessota nchini Marekani waliofika Wizarani kumsalimia. Chuo cha St. Thomas kilimtunuku Shahada ya Uzamivu wa Heshima, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2006.Baadhi ya Wanafunzi hao wakimsikiliza Mhe. Membe alipozungumza nao.Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani