Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UDA wagoma kwa muda

MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazi mmoja na Kivukoni jana waligoma kwa muda wakipinga agizo la uongozi la kuwataka wapeleke hesabu ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

UDA wagoma!

418187_10150720984938420_416779873_n

Na Mwandishi wetu

MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.

Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.

Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva UDA wagoma

MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi ya Uda wagoma

Madereva wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), jana waligoma kushinikiza kupunguzwa kiwango cha fedha wanachotakiwa kurejesha kwa siku.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madereva UDA wagoma tena

BAADHI ya madereva wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), jana waligoma kufanya kazi kwa muda wakipinga agizo la kupeleka hesabu ya sh. 205,000 wakidai kuwa haziwezi kupatikana kutokana...

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!

Picha zote zinaonyesha wakazi wa Mbagala wakiwa Mbagala Rangi Tatu wakisubiri usafiri na wengine wakipanda mabasi ya daladala kwa kugombea. Madereva wa Kampuni ya Usafi jijini Dar es Salaam (UDA), leo wamegoma kuingiza mabasi barabarani kwa kinachoelezwa ni madai mbalimbali ya haki zao dhidi ya shirika hilo. Kwa mujibu wa dereva mmoja ambaye hakupenda kuweka wazi jina lake, wamefikia hatua hiyo kufuatia uongozi wao kutosikia...

 

11 years ago

Michuzi

MBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.

Pichani ni mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe akiwa sambamba na Mbunge wa jimbo la Kawe,Halima  Mdee wakiwa wameachiwa na jeshi la polisi akisindikizwa kwenda kupanda chopa katika viwanja vya mwembetogwa mara baada ya kudaiwa kuzidisha muda kwenye mkutano wao wa hadhara mkoani Iringa. (picha zote na denis mlowe) Na Denis Mlowe,Iringa MWENYEKITI wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe na Mbunge wa jimbo la Hai na Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. Halima Mdee walishikiliwa kwa muda na Jeshi la...

 

11 years ago

Mwananchi

Uda zakamatwa kwa kukiuka sheria

Mabasi 15 ya Shirika la Usafiri Dar es Salam (Uda) yamekamatwa na kikosikazi cha Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Majini na Baharini (Sumatra) kutokana na kukiuka sheria za usafirishaji wa abiria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Strabag wagoma kwa kubaguliwa

WAFANYAKAZI wa Kampuni inayojihusisha  na  ujenzi wa barabara ya  mradi wa mabasi  yaendayo haraka (BRT)  ya Strabag, jana wamegoma kufanya kazi kutokana na kubaguliwa katika malipo  ya stahili  na posho....

 

10 years ago

Habarileo

Daladala 1,800 zajiokoa kwa kuungana na UDA

UWEZEKANO wa kufa kwa sehemu kubwa ya biashara ya daladala jijini Dar es Salaam umepungua, baada ya wamiliki wa biashara hiyo kuingia mkataba na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), ili kuendesha Mradi wa Mabasi ya Kasi Dar es Salaam (DART).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani