Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uda zakamatwa kwa kukiuka sheria

Mabasi 15 ya Shirika la Usafiri Dar es Salam (Uda) yamekamatwa na kikosikazi cha Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Majini na Baharini (Sumatra) kutokana na kukiuka sheria za usafirishaji wa abiria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Maharusi wakamatwa kwa kukiuka sheria ya kutotoka nje

Polisi nchini Afrika Kusini wamemkamata bwana harusi bi harusi, kuhani, na wageni 40 ambao walivunja sheria za kutotoka nje za nchi hiyo na kufanya harusi.

 

11 years ago

GPL

MH. MAHANGA ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKIUKA SHERIA ZA AJIRA

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt Mahongoro Mahanga akitoka katika chumba cha mahakama ya kazi, Tume ya Usuluhishi na Upatanishi wiki iliyopita siku ya Jumanne baada ya kusomewa mashtaka yake ya kumfanyisha kazi PS wake (Private Secretary) Bi, Itika Kasambala katika ofisi yake ya Bunge kwa muda wa miaka kumi bila mkataba na kusitisha kazi yake na kisha kulipa mafao ya laki mbili tu.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUMDAI FIDIA ALIYEVUNJA MKATABA AU KUKIUKA MAKUBALIANO YENU

Na  Bashir  Yakub
Kawaida unapokuwa umeingia katika mkataba au makubaliano katika jambo lolote lile kunakuwa na masharti ambayo unapaswa kuyatimiza au kutimiziwa. Na hapa nazungumzia mikataba yote uwe wa kuuza mbuzi au ule wa kujenga ghorofa mia, yote ni mikataba. Masharti hayo huwa ndio makubaliano yenyewe au twaweza kusema kuwa ndio mkataba wenyewe. Kila upande unawajibika  juu ya utekelezaji wa masharti hayo. Yeyote anayefikia hatua ya kukiuka masharti hayo  au hata kukiuka sharti moja tu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumatra yasisitiza UDA kufuata sheria

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi Kavu na Majini (Sumatra), imesisitiza Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) kutakiwa kufuata taratibu zote za usafirishaji kama ilivyo kwa daladala nyingine....

 

11 years ago

Michuzi

MABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Miaka ya nyuma ilikuwa Tajiri mwenye Basi akitaka kuajiri Dereva Swali la Msingi iliuweze kuajiariwa alikuwa anauliza kama Umewahi kuendesha wapi na wapi Ukitaja UDA kazi unapata haraka sana Tofauti na sasahivi madereva wa uda wamekuwa hawana sifa kwani tunashudia wanavyo endesha hovyo magari hayo Barabarani na hawaheshimu kabisa taratibu za uendeshaji.Ni jana usiku tu tumeona moja ya gari hilo likiwa mtaroni kutokana na uzembe wa madereva hao,sasa na asubuhi ya leo tunaona basi lingine...

 

11 years ago

Michuzi

Kamanda Mpinga awafunda madereva wa UDA kuzingatia sheria za Usalama barabarani

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga ( aliyesimama) akifafanua kwa ufasaha vifungu vya sheria za usalama barabarani na miiko ya maadili ya udereva, wakati akifungua warsha ya mafunzo kwa maderva wa kampuni ya UDA jijini Dar es Salaam leo. Aliwafunda madereva hao kuwa wasafi, lugha nzuri na kutabasamu kwa abiria ambao ni wateja wao.Wengine pichani ni Mwenyekiti wa makampuni ya Simon Group,Robert Kisena (kulia) na David Mziray kutoka SUMATRA. Mwenyekiti wa makampuni...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mazingira atoa onyo kali kwa kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd kwa kukiuka taratibu za usafi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk. Binilith Mahenge (mwenye shati la drafti) akipiga picha maji yanayopita kwenye mto Kibandu kutoka kiwanda cha NIDA Textile Mills Ltd.Kulia ni Diwani wa Kata ya Kigogo Richard Chengula. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.  Binilith Mahenge (kulia) akipiga picha bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha NIDA kilichopo Kigogo Mkuyuni jijini Dar es Salaam,  Bomba linalotiririsha maji machafu kutoka kiwanda cha...

 

11 years ago

Habarileo

Washikiliwa kwa kukiuka amri ya kutovua samaki

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Barakael Masaki POLISI mkoani hapa inawashikilia watu wawili kwa tuhumu za kukutwa wakivua samaki katika ziwa Rukwa katika kipindi hiki ambacho serikali imesitisha uvuvi ndani ya ziwa hilo.

 

9 years ago

Michuzi

NITASIMAMIA SHERIA KWA KUWAWAJIBISHA WATAKAO PINDISHA SHERIA KWA MANUFAA YAO-DKT MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli(katikati) akiwanadi Mbunge wa Handeni Mjini Dk. Abdallah Kigoda (kulia) na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kigoda mjini Handeni.
Wakati kampeni za kuwania Urais,Ubunge na Udiwani zikidizi kushika kasi nchini,Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli,amesema atasimamia utawala wa sheria kwa kuwawajibisha wale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani