Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. MAHANGA ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKIUKA SHERIA ZA AJIRA

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt Mahongoro Mahanga akitoka katika chumba cha mahakama ya kazi, Tume ya Usuluhishi na Upatanishi wiki iliyopita siku ya Jumanne baada ya kusomewa mashtaka yake ya kumfanyisha kazi PS wake (Private Secretary) Bi, Itika Kasambala katika ofisi yake ya Bunge kwa muda wa miaka kumi bila mkataba na kusitisha kazi yake na kisha kulipa mafao ya laki mbili tu.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uda zakamatwa kwa kukiuka sheria

Mabasi 15 ya Shirika la Usafiri Dar es Salam (Uda) yamekamatwa na kikosikazi cha Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Majini na Baharini (Sumatra) kutokana na kukiuka sheria za usafirishaji wa abiria.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Tawla aburuzwa mahakamani

Waliokuwa wafanyakazi 10 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wamefungua kesi ya madai Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho, Tike Mwambipile.

 

5 years ago

BBCSwahili

Maharusi wakamatwa kwa kukiuka sheria ya kutotoka nje

Polisi nchini Afrika Kusini wamemkamata bwana harusi bi harusi, kuhani, na wageni 40 ambao walivunja sheria za kutotoka nje za nchi hiyo na kufanya harusi.

 

10 years ago

Mwananchi

Chid Benz sasa akiri kosa mahakamani

Mwanamuziki Rashidi Abdallah Makwaro ‘Chid Benz’(29) amekiri mashtaka matatu yanayomabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kukutwa na dawa za kulevya, kifuu cha nazi na kijiko vinavyotumika kuvutia ama kunusa dawa hizo za kulevya.

 

9 years ago

Michuzi

MAMBO MATATU YATAKAYOKUONDOLEA KOSA LA JINAI MAHAKAMANI.

Image result for KOSA  La  jinai
Na Bashir YakubMakosa  ya  jinai  ni  makosa  yote  yaliyoorodheshwa  katika  sura  ya  16  ya  kanuni  za  adhabu  pamoja  na  yale  yaliyo  katika  sheria  nyingine  kama  ile  ya  uhujumu  uchumi.  Pamoja  na  kuwapo  sheria nyingine  ambazo huorodhesha  makosa  ya  jinai   bado  Kanuni  za  adhabu  inabaki  kuwa  sheria  kuu  inayoorodhesha  makosa  ya  jinai.  Kwa  ujumla  katika  sheria tunayo makosa  makuu  ya  aina mbili. Kwanza  ni  hayo  ya  jinai  na  pili  ni  ya  madai.  Kwa ...

 

11 years ago

Michuzi

News alert mahakama ya rufaa yawaachia huru wachina wawili waliofungwa kwa kosa la kuvua samaki nchini kinyume na sheria

Mahakama ya Rufani imewaachia huru wafungwa wawili raia China (pichani)  waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la uvuvi haramu katika katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania (Exclusive Economic Zone- EEZ) Wafungwa hao , Hsu Chin Tai ambaye alikuwa nahodha wa meli ya Tawaliq 1 waliyokamatwa nayo wakifanya uvuvi huo haramu na aliyekuwa wakala wa meli hiyo, pamoja na baharia Zhao Hanquing.   Walitiwa hatiani na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Februari 23,...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ......: NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, DKT. MAKONGORO MAHANGA KUTIMKIA CHADEMA LEO

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) nyumbani kwake Segerea mwisho, wakati akitangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Jumapili Agosti 2, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUMDAI FIDIA ALIYEVUNJA MKATABA AU KUKIUKA MAKUBALIANO YENU

Na  Bashir  Yakub
Kawaida unapokuwa umeingia katika mkataba au makubaliano katika jambo lolote lile kunakuwa na masharti ambayo unapaswa kuyatimiza au kutimiziwa. Na hapa nazungumzia mikataba yote uwe wa kuuza mbuzi au ule wa kujenga ghorofa mia, yote ni mikataba. Masharti hayo huwa ndio makubaliano yenyewe au twaweza kusema kuwa ndio mkataba wenyewe. Kila upande unawajibika  juu ya utekelezaji wa masharti hayo. Yeyote anayefikia hatua ya kukiuka masharti hayo  au hata kukiuka sharti moja tu,...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo Ikulu aburuzwa Madili kwa Escrow

mnikuluNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIGOGO wa Ikulu (Mnikulu), Shabani Gurumo, amelishangaza Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kusema hakufahamu sababu za kuwekewa kiasi cha Sh 80,850,000 kwenye akaunti yake.
Mnikulu huyo alipinga madai ya yeye kupewa fedha na Kampuni ya VIP Engineering ila alipewa na James Rugemalira kutokana na urafiki wao walionao kwa muda wa miaka 10 na hazihusiani na mgawo.
Alisema wakiwa katika mazungumzo na rafiki yake Rugemalira, alipewa maelezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani