Chid Benz sasa akiri kosa mahakamani
Mwanamuziki Rashidi Abdallah Makwaro ‘Chid Benz’(29) amekiri mashtaka matatu yanayomabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kukutwa na dawa za kulevya, kifuu cha nazi na kijiko vinavyotumika kuvutia ama kunusa dawa hizo za kulevya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lb-MEivIk0Q/VOSGC_k3bEI/AAAAAAAHEWs/ELJLS65zjik/s72-c/chid%2Bclip.jpg)
MSANII CHID BENZ AKIRI MASHITAKA YAKE MAHAKAMANI LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-lb-MEivIk0Q/VOSGC_k3bEI/AAAAAAAHEWs/ELJLS65zjik/s1600/chid%2Bclip.jpg)
Chid Benz alikiri mashitaka hayo baada ya kusomewa upya hati yake ya mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema.
Hakimu Lema alisema kwa kuwa mshtakiwa amekiri mashitaka yake mahakama yake...
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Chid Benz akiri kukutwa na madawa ya kulevya mahakamani,asubiri hukumu
Chid Benz alikiri hivyo juzi Jumatano mbele ya Hakimu Mkazi, Waliarwande Lema baada ya kuomba asomewe tena mashtaka yake. Aliomba hivyo muda mfupi baada ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Diana Lukendo aliyesema upelelezi haujakamilika...
10 years ago
GPLMWANAMUZIKI CHID BENZ AKIRI MASHITAKA YAKE MATATU MAHAKAMANI LEO
Rashidi Makwiro (29), maarufu kama Chid Benz akiwa eneo la mahakama. (Picha na Maktaba yetu) MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva), Rashidi Makwiro (29), maarufu kama Chid Benz leo amekiri mahakamani mashitaka matatu yanayomkabili ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae. Chid Benz alikiri mashitaka hayo baada ya kusomewa...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Chid Benz atimuliwa mahakamani
Msanii wa muziki wa hip hop nchini, Rashid Makwaro ‘Chid Benz’ jana alizuiwa na askari kuingia ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa sababu ya mavazi na mapambo yake mwilini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMMzeDZMIEOQD42UoemfXeHFIOUy1MecMu8bRAsEVF5AXzCa9WDlQ7y2rM1aSrW6i33g77tbXJF4df9hnCoppUgd/chid.jpg?width=650)
MLEGEZO WAMPONZA CHID BENZ ATAITIWA MAHAKAMANI, POLISI WATOKA NAYE MKUKU
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KIBANO! Kuonesha wapo ‘serious’ na mavazi, polisi walimtaiti staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ na kumtaka akavae vizuri kisha arejee mahakamani. Tukio hilo lilitokea juzi, Jumanne katika Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, wakati staa huyo alipokuwa amefikishwa kusomewa mashtaka yake ya kukutwa na madawa ya kulevya. Staa wa Bongo...
10 years ago
Bongo507 Nov
Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo
Wakali wa Hip Hop Tanzania Rashid na Fareed a.k.a Chid Benz na Fid Q wana mpango wa kurekodi album ya pamoja. Chid ambaye ameachia ngoma mpya wiki hii ‘Kimbiza’, ameiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm kuwa mpango wa kufanya album na Fid lilikuwa ni wazo lake. “Ni idea yangu nilikuwa nayo kabla sijatoa ngoma, […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA
Mahakama ya Kisutu imeahirisha  kesi ya mwanamuziki Chid Benz dhidi ya dawa za kulevya mpaka Februari  26. Mwanamuziki huyo alikamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akijitayarisha kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye tamasha la muziki.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHID BENZ APATA DHAMANA
Chid Benz akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar. HATIMAYE  msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za kulevya. Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza...
10 years ago
Daily News20 Feb
Chid Benz pleads guilty
Daily News
FAMOUS local hip-hop musician Rashid Abdallah Makwiro, alias Chid Benz (29), yesterday pleaded guilty to all the charges against him of unlawfully possession of narcotic drugs at Kisutu Resident Magistrate's Court. Before Principal Resident Magistrate ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania