Mkurugenzi Tawla aburuzwa mahakamani
Waliokuwa wafanyakazi 10 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wamefungua kesi ya madai Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho, Tike Mwambipile.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMH. MAHANGA ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKIUKA SHERIA ZA AJIRA
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Kigogo Ikulu aburuzwa Madili kwa Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIGOGO wa Ikulu (Mnikulu), Shabani Gurumo, amelishangaza Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kusema hakufahamu sababu za kuwekewa kiasi cha Sh 80,850,000 kwenye akaunti yake.
Mnikulu huyo alipinga madai ya yeye kupewa fedha na Kampuni ya VIP Engineering ila alipewa na James Rugemalira kutokana na urafiki wao walionao kwa muda wa miaka 10 na hazihusiani na mgawo.
Alisema wakiwa katika mazungumzo na rafiki yake Rugemalira, alipewa maelezo...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Nyama ya mbuzi yamkwama kooni, afa, mke aburuzwa kortini
MKAZI wa kijiji cha Nakachindu kata ya Mkundi Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani hapa, Asumini Bakiri (39) amefikishwa mahakamani kujibu shitaka la mauaji linalomkabili la kumuua mumewe, Simoni Simoni (45).
11 years ago
Michuzi28 Feb
MTOTO WA KIKE ABURUZWA NA BABA YAKE MTAA MZIMA KWENYE PIKIPIKI KWA KUTOKWENDA SHULE
Mtoto Anastazia Jumanne akiwa amefungwa mikono yake kwenye pikipiki kwa mpira
Na Valence Robert-Geita
Mtoto Anastazia Jumanne (12) ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi katika wilaya na mkoa wa Geita amefanyiwa ukatili wa kutisha baada kufungwa mpira kwenye pikipiki na baba yake mzazi na kisha kuanza kumburuza mtaani. Tukio hilo la kusikitisha limetokea jana majira ya sa tatu asubuhi katika moja ya mitaa ya mjini humo ambapo inadaiwa kuwa binti huyo anayesoma darasa la nne katika shule...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aU-YHBt20bY/VU8yEYfpQnI/AAAAAAAAAd4/C34s1ld_GgE/s72-c/IMG_8953.jpg)
TAWLA WAANDIMISHA MIAKA 25.
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. CHAMA cha Wanawake Wanasheria Tanzania (TAWLA) wafanya maadhimisho ya miaka 25 ya kujenga uwezo na kufanya uchechemuzi juu ya haki ya wanawake tangu kuanzishwa kwake mwaka 1990 hapa nchini.
Akizungumza katika Uzinduzi wa Maandimisho ya Chama hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa jengo la YWCA jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria (TAWLA), Magreti Ringo amesema kuwa chama hicho kimefanikiwa kutoa msaada wa kisheria kwa...
10 years ago
IPPmedia16 Jul
Government to help TAWLA start crisis centre
IPPmedia
Deputy Minister for Lands, Housing and Settlements, Angela Kairuki at TAWLA �s reception to commemorate 25 years Anniversary. In recent years, acts of gender based violence (GBV) have become common in our daily lives. When you read or listen to the ...
9 years ago
VijimamboTAWLA: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI
9 years ago
MichuziWASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI :TAWLA
10 years ago
Habarileo17 Dec
TAWLA yataka vyama vya kutetea wanaume
CHAMA cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), kimesema wakati umefika kwa wanaume kutoona haya na kuanzisha vyama vyao vya utetezi ili kuwasaidia wanaume wanaonyanyaswa kijinsia.