WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI :TAWLA
Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.
Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboTAWLA: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!
Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly
[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.
Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
BAADHI ya wasimamizi wa uchaguzi wilayani Meru, Mkoa wa Arusha, wamenusurika kuchomwa moto ndani ya gari lao baada ya kundi la vijana kutilia shaka gari lao wakidhani limebeba kura za wizi.
Tukio hilo lililowashtua wasimamizi hao na kujikuta wakiwa hawana la kufanya mikononi mwa kundi la vijana hao, lilitokea katika Kata ya Embaseni, wilayani hapa juzi, kati ya saa tatu na saa nne asubuhi.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema vijana hao walilitilia shaka gari...
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Alikuwa akiwafuata wasimamizi wa uchaguzi.
9 years ago
MichuziTAWLA YAENDELEZA MIDAHALO YA AMANI KWA WADAU WA UCHAGUZI
9 years ago
Habarileo08 Oct
Lubuva: Wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewataka wa wasimamizi wa uchaguzi na makamanda wa Polisi wa mikoa nchini, kufuata sheria ya uchaguzi na kutenda haki na haki hiyo ionekane ikitendeka siku ya uchaguzi mkuu.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutoa matokeo haraka
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Waangalizi, wasimamizi wadai zoezi la uchaguzi lilienda vizuri Unguja
5 years ago
Michuzi28 Feb
Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu
![](https://media.parstoday.com/image/4bv515a29aa0bd1kfba_800C450.jpg)
Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.
Kabudi ameyasema hayo kwenye hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo amekariri ahadi ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo aliyoitoa akizihakikishia jumuiya za kimataifa kuhusiana na suala hilo. Akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa jijini Dar es Salaam Kabudi amesema: “Mwaka huu...