Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

BAADHI ya wasimamizi wa uchaguzi wilayani Meru, Mkoa wa Arusha, wamenusurika kuchomwa moto ndani ya gari lao baada ya kundi la vijana kutilia shaka gari lao wakidhani limebeba kura za wizi.

Tukio hilo lililowashtua wasimamizi hao na kujikuta wakiwa hawana la kufanya mikononi mwa kundi la vijana hao, lilitokea katika Kata ya Embaseni, wilayani hapa juzi, kati ya saa tatu na saa nne asubuhi.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema vijana hao walilitilia shaka gari...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi 70 wanusurika kifo

WANAFUNZI 70 katika Shule ya Msingi ya Filbertbay iliyopo Kwamatiasi wilayani Kibaha, Pwani, wamenusurika kifo baada ya moto mkubwa kuzuka ghafla katika bweni pamoja na majengo mengine ya shule hiyo. Tukio...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga wanusurika kifo Mikese

Wachezaji na viongozi wa Yanga SC wamenusurika kifo baada ya basi lao kuacha njia na kutumbukia mtaroni eneo la Mikese majira ya saa 3:30 asubuhi wakati wakitoka Morogoro kuelekea Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Makada CCM wanusurika kifo

Makada saba wa CCM, wakiwamo makatibu wawili wa wilaya, wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakilitumia kusambaza vitambulisho vya mawakala kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,kupinduka.

 

11 years ago

Mwananchi

Abiria 29 wanusurika kifo Moro

 Abiria 29 wa mabasi mawili tofauti wamejeruhiwa na kunusurika kifo katika ajali zilizotokea eneo la Mikese na Mkambarani Wilaya ya Morogoro Barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam juzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wawili wanusurika kifo USA

Wasafisha madirisha wawili mjini New York wanabahati ya kipekee kuepuka kifo baada ya jukwaa walilolitumia kusimama kuvunjika.

 

9 years ago

Mtanzania

P Square wanusurika kifo Nigeria

P-squareLAGOS, Nigeria

NYOTA wa muziki nchini Nigeria, mapacha wanaounda kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye. wamenusurika kifo jana baada ya gari lao kugongana na lori la mizigo.

Ajali hiyo ilitokea katika mji wa Lagos, ambapo wasanii hao walikuwa katika gari aina ya Range Rover Sport SUV, lakini hata hivyo hali za wasanii hao zinaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu.

“Tunaamini Mungu yupo nasi kila wakati, ilikuwa ni ajali mbaya, ingeweza kutuondolea maisha yetu, lakini tunamshukuru Mungu...

 

10 years ago

Mwananchi

Alikuwa akiwafuata wasimamizi wa uchaguzi.

Nahodha wa boti ya doria ya Halmashauri ya Wilaya Geita, Timothi Samson(46) anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akienda kuwachukua wasimamizi wa uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa katika Kisiwa cha Izumacheli.

 

11 years ago

GPL

ABIRIA WANUSURIKA KIFO WAKISUBIRI USAFIRI

Gari aina ya Toyota Raum lenye namba za usajili T483 CMU likiwa eneo la kituo cha mabasi.…

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimbaji wadogo wanusurika kifo Geita

Watu wawili wameokolewa baada ya kufukiwa na kifusi ndani ya shimo la mita 600 katika Kijiji cha Chilulumo, mkoani Geita wakati walipoingia kwa shughuli za uchimbaji mdogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani