Makada CCM wanusurika kifo
Makada saba wa CCM, wakiwamo makatibu wawili wa wilaya, wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakilitumia kusambaza vitambulisho vya mawakala kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,kupinduka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Wanafunzi 70 wanusurika kifo
WANAFUNZI 70 katika Shule ya Msingi ya Filbertbay iliyopo Kwamatiasi wilayani Kibaha, Pwani, wamenusurika kifo baada ya moto mkubwa kuzuka ghafla katika bweni pamoja na majengo mengine ya shule hiyo. Tukio...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
BAADHI ya wasimamizi wa uchaguzi wilayani Meru, Mkoa wa Arusha, wamenusurika kuchomwa moto ndani ya gari lao baada ya kundi la vijana kutilia shaka gari lao wakidhani limebeba kura za wizi.
Tukio hilo lililowashtua wasimamizi hao na kujikuta wakiwa hawana la kufanya mikononi mwa kundi la vijana hao, lilitokea katika Kata ya Embaseni, wilayani hapa juzi, kati ya saa tatu na saa nne asubuhi.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema vijana hao walilitilia shaka gari...
9 years ago
Mtanzania04 Sep
P Square wanusurika kifo Nigeria
LAGOS, Nigeria
NYOTA wa muziki nchini Nigeria, mapacha wanaounda kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye. wamenusurika kifo jana baada ya gari lao kugongana na lori la mizigo.
Ajali hiyo ilitokea katika mji wa Lagos, ambapo wasanii hao walikuwa katika gari aina ya Range Rover Sport SUV, lakini hata hivyo hali za wasanii hao zinaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu.
“Tunaamini Mungu yupo nasi kila wakati, ilikuwa ni ajali mbaya, ingeweza kutuondolea maisha yetu, lakini tunamshukuru Mungu...
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Yanga wanusurika kifo Mikese
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Wawili wanusurika kifo USA
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Abiria 29 wanusurika kifo Moro
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Wachimbaji wadogo wanusurika kifo Geita
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika
WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Wanusurika kifo mikononi mwa sungusungu
WATU watatu wanaotuhumiwa kwa wizi wamenusurika kuuawa na sungusungu katika Kijiji cha Igumo, Kata ya Chabutwa, wilayani Igunga, Tabora. Watuhumiwa hao ni Shija Shija (27), Mathew John (26) na Mathias...