Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikuwa akiwafuata wasimamizi wa uchaguzi.

Nahodha wa boti ya doria ya Halmashauri ya Wilaya Geita, Timothi Samson(46) anahofiwa kufa maji baada ya kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati akienda kuwachukua wasimamizi wa uchaguzi wa marudio wa Serikali za Mitaa katika Kisiwa cha Izumacheli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

BAADHI ya wasimamizi wa uchaguzi wilayani Meru, Mkoa wa Arusha, wamenusurika kuchomwa moto ndani ya gari lao baada ya kundi la vijana kutilia shaka gari lao wakidhani limebeba kura za wizi.

Tukio hilo lililowashtua wasimamizi hao na kujikuta wakiwa hawana la kufanya mikononi mwa kundi la vijana hao, lilitokea katika Kata ya Embaseni, wilayani hapa juzi, kati ya saa tatu na saa nne asubuhi.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema vijana hao walilitilia shaka gari...

 

9 years ago

Habarileo

Lubuva: Wasimamizi wa uchaguzi fuateni sheria

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewataka wa wasimamizi wa uchaguzi na makamanda wa Polisi wa mikoa nchini, kufuata sheria ya uchaguzi na kutenda haki na haki hiyo ionekane ikitendeka siku ya uchaguzi mkuu.

 

9 years ago

Michuzi

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI :TAWLA

Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...

 

9 years ago

Vijimambo

TAWLA: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI

Ofisa Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri hiyo jana.Ofisa Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutoa matokeo haraka

Umoja wa waangalizi wa ndani wa uchaguzi (Cemot) umewataka wasimamizi wa uchaguzi kutoa matokeo haraka katika maeneo ambayo zoezi la kuhesabu kura limeshakamilika ili kuondoa hali ya mashaka na sintofahamu miongoni mwa wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Waangalizi, wasimamizi wadai zoezi la uchaguzi lilienda vizuri Unguja

>Wasimamizi wa Uchaguzi na waangalizi wa vyama  vya siasa wamesema, zoezi la uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki limekwenda vizuri licha ya kasoro iliojitokeza ya baadhi ya watu kutoona majina yao katika orodha ya matangazo ya wapiga kura yaliyobandikwa katika vituo siku 21 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mafunzo ya wasimamizi na maafisa uchaguzi Mkoa Dar es Salaam wafanyika leo!

image_1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki Akifungua mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa Uchaguzi,Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na Maafisa uchaguzi leo jijini Dar es salaam. Na.Aron Msigwa- MAELEZO. Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam Said Mecki Sadiki amewataka Waratibu wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya Siasa katika mkoa huo kuhakikisha kuwa wanafanya kazi zao kwa ushirikiano ili kuwawezesha wananchi kupiga kura kwa amani na utulivu...

 

9 years ago

Michuzi

WASIMAMIZI NA WARATIBU WA UCHAGUZI MIKOA YA IRINGA MBEYA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA UPENDELEO KWA WAGOMBEA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (PICHA MAKTABA)Na Kahema Emanuel,Mbeya
WITO umetolewa kwa Waratibu  wa uchaguzi wa mikoa ,wasimamizi  wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi pamoja na maafisa uchaguzi wa halmashauri mikoa ya kanda za juu kusini  kuhakikisha wanafanya kazi zao kwa waledi na kwa uadilifu bila kuwa na upendeleo wa chama chochote cha siasa ua mgombea.

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro wakati akifungua mafunzo ya wasimamizi wa uchaguzi na...

 

9 years ago

Vijimambo

MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAAFISA UCHAGUZI MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANYIKA LEO OCTOBA 3, 2015

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecki Sadiki Akifungua mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa Uchaguzi,Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na Maafisa uchaguzi leo Octoba 3, 2015 jijini Dar es salaam.
Picha na Aron Msigwa- MAELEZO.
Waratibu wa Uchaguzi,Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na Maafisa uchaguzi waliohudhuria mafunzo leo jijini Dar es salaam kujiandaa usimamizi wa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 25 mwaka huu.

Na.Aron...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani