Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutoa matokeo haraka
Umoja wa waangalizi wa ndani wa uchaguzi (Cemot) umewataka wasimamizi wa uchaguzi kutoa matokeo haraka katika maeneo ambayo zoezi la kuhesabu kura limeshakamilika ili kuondoa hali ya mashaka na sintofahamu miongoni mwa wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cuK5_9QQ0Jo/VgqHVJbTkLI/AAAAAAAAT_4/nzf1b9h7muY/s72-c/abbas-kandoro10.jpg)
WASIMAMIZI NA WARATIBU WA UCHAGUZI MIKOA YA IRINGA MBEYA WATAKIWA KUJIEPUSHA NA UPENDELEO KWA WAGOMBEA
![](http://4.bp.blogspot.com/-cuK5_9QQ0Jo/VgqHVJbTkLI/AAAAAAAAT_4/nzf1b9h7muY/s640/abbas-kandoro10.jpg)
WITO umetolewa kwa Waratibu wa uchaguzi wa mikoa ,wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi pamoja na maafisa uchaguzi wa halmashauri mikoa ya kanda za juu kusini kuhakikisha wanafanya kazi zao kwa waledi na kwa uadilifu bila kuwa na upendeleo wa chama chochote cha siasa ua mgombea.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Abbas Kandoro wakati akifungua mafunzo ya wasimamizi wa uchaguzi na...
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!
Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly
[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.
Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Wasimamizi kunolewa wasicheleweshe matokeo
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.
9 years ago
StarTV01 Oct
Waratibu, wasimamizi watakiwa kuzingatia sheria
Waratibu, wasimamizi wa uchaguzi na wasaidizi wao katika majimbo mbalimbali nchini wametakiwa kuhakikisha wanazifahamu vyema sheria, kanuni na taratibu zinazotawala mchakato huo na kuzizingatia ipasavyo wakati wote wa utekekelezaji wa majukumu waliyopewa.
Lengo ni kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na haki kwa kusimamia vyema zoezi la upigaji kura, kuhesabu, kujumlisha na kutangaza matokeo ili kudumisha amani na utulivu uliopo.
Zikiwa zimebaki siku 24 kabla ya kufanyika kwa...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Wasimamizi wa uchaguzi wanusurika kifo
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
BAADHI ya wasimamizi wa uchaguzi wilayani Meru, Mkoa wa Arusha, wamenusurika kuchomwa moto ndani ya gari lao baada ya kundi la vijana kutilia shaka gari lao wakidhani limebeba kura za wizi.
Tukio hilo lililowashtua wasimamizi hao na kujikuta wakiwa hawana la kufanya mikononi mwa kundi la vijana hao, lilitokea katika Kata ya Embaseni, wilayani hapa juzi, kati ya saa tatu na saa nne asubuhi.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema vijana hao walilitilia shaka gari...
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Alikuwa akiwafuata wasimamizi wa uchaguzi.
9 years ago
VijimamboTAWLA: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI
9 years ago
MichuziWASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATENDE HAKI :TAWLA