Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAWLA WAANDIMISHA MIAKA 25.


Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

 CHAMA cha Wanawake Wanasheria Tanzania (TAWLA) wafanya maadhimisho  ya miaka 25 ya kujenga uwezo  na  kufanya uchechemuzi juu ya  haki ya  wanawake tangu kuanzishwa kwake mwaka 1990 hapa nchini.
 Akizungumza katika Uzinduzi wa Maandimisho ya Chama hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa jengo la  YWCA jijini Dar es Salaam leo,  Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria (TAWLA), Magreti Ringo amesema kuwa  chama hicho kimefanikiwa kutoa msaada wa kisheria kwa...

Michuzi

Read more


Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani