Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAFIRI: Sumatra yaiamuru Uda kushusha nauli

>Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetoa amri kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam kutoza viwango sawa vya nauli  kama vinavyotozwa na daladala za kawaida.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sumatra 'yagoma' kushusha nauli

Abiriaq wakigombania kuingia ndani ya daladala. Pamoja na shida hii lakini Sumatra imeshindwa kushusha nauli.MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra yatafakari kushusha nauli

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewataka wananchi na jamii kuwa watulivu na kuendelea kuvuta subira, huku suala la kushuka kwa bei ya mafuta likifanyiwa utafiti ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua ya kushusha nauli za vyombo vya usafiri.

 

10 years ago

Michuzi

Chama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI

Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Taifa(Chakua),Hassan Mhanjama akionyesha barua kwa waandishi wa habari  (hawapo pichani) ambazo wamejibiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka).

Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI

Naibu Katibu Idara ya Barabara ya CHAKUA, Gervas Rutaguzinda, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa CHAKUA, Hassan Mchanjama, akionyesha baadhi ya nyaraka walizowahi kuwaandikia SUMATRA.…

 

9 years ago

Mwananchi

Madereva wagoma Ilemela, kisa polisi kushusha nauli

Madereva wa mabasi yaendayo Kata ya Igombe, Manispaa ya Ilemela, Mwanza wamegoma kwa saa saba kupeleka wasafiri kwa madai ya kushushwa kwa nauli na ofisa mmoja wa polisi kitengo cha usalama barabarani kutoka Sh1,500 hadi Sh700.

 

10 years ago

Habarileo

Nauli za mabasi hazitabadilishwa-Sumatra

David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeshikwa kigugumizi kuhusu suala la kushusha nauli ya magari ya abiria kwa kutoa sababu za kisheria pamoja na ukokotoaji wa tozo.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMATRA YASHUSHA NAULI ZA MABASI

  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini(SUMATRA),Gilliard Ngewe akizungumza na waandishi wa habari  kuhusiana na ushushwaji wa nauli za mabasi ya masafa marefu ofisini kwake jijini Dar es salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Udhibiti usafiri wa barabara,Geffrey Silinda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari  katika ofisi za Mamlaka ya Uthibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) jijini Dar es Salaam,kulia ni  Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Sumatra yakomaliwa ishushe nauli za mabasi

Chama  cha Kutetea Abiria (Chakua) kimeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Ardhini Sumatra kukutana na wadau kujadili punguzo la nauli kutokana na kuendelea kuporomoka kwa bei ya mafuta.

 

10 years ago

Habarileo

Sumatra waanza kudhibiti nauli, ajali

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imeanza mikakati ya kudhibiti kupandishwa kwa nauli wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka nchi nzima pamoja na kudhibiti ajali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani