Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislamu waombwa kuchangia viungo vya Mwili

Hospitali za Uingereza zimeanza kuwashawishi Waislamu kuchangia viungo vyao kwa wagonjwa ambao wanahitaji figo au maini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ATHARI ZA CHAI, KAHAWA KWA VIUNGO VYA MWILI

KAMA mtakumbuka, katika toleo la Uwazi namba 846, Juni 10 – 16, 2014, tuliongelea madhara ya matumizi makubwa ya bidhaa zenye caffeine na kahawa ikiwa yenye kiwango kikubwa. Wasomaji wengi mliuliza maswali mengi mkitaka kujua zaidi kuhusu athari za caffeine, hasa kwa upande wa maumivu ya mifupa na nyonga. Mlikuwa sahihi kwa kuwa ni kweli wengi wetu tunaumwa maradhi ya mifupa na hasa nyonga, magoti na mgongo. Kitaalamu...

 

9 years ago

GPL

HAPPINESS MASSAGE CLINIC, WANATIBU MATATIZO YA VIUNGO VYA MWILI

Combination massage (Masaji mchanganyiko) Relaxation massage (Masaji ya kutoa uchovu) Body scrub…

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU

MPANGO Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) unatoa rai kwa wananchi wote wenye sifa za kuchangia damu wajitokeze kuchangia damu katika vituo vya Damu salama hasa kipindi cha mwezi Novemba mpaka Januari mwakani , kipindi ambacho wanafunzi wa sekondari wanakuwa likizo hivyo kusababisha kuongezeka kwa uhaba wa damu nchini.
Hayo yalisemwa leo na Afisa Habari wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania Bw. Rajab Mwenda (pichani) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ilala...

 

9 years ago

Habarileo

Wadau waombwa kuchangia sekta ya afya

WADAU wa Afya nchini wameombwa kuwekeza kwenye sekta hiyo kutokana na bajeti iliyotengwa kwa ajili ya sekta kuwa finyu.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

10 years ago

StarTV

Wakazi Mtwara waombwa kujitokeza kuchangia damu.

Na Joseph Mpangala,

Mtwara.

 

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu amewaomba wakazi wa mkoa huo kuhakikisha wanajitokeza kuchangia damu kutokana na kituo cha damu salama cha mikoa ya kanda ya kusini kuonekana kuwa na uhaba mkubwa wa Damu na hivyo kusababisha damu nyingi kuagizwa kutoka kanda nyingine pindi kunapotokea mahitaji ya damu kwa wagonjwa.

 

Dendegu ameyasema hayo katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya wanawake mkoa Mtwara.

 

Maadhimisho hayo yameanza kwa mkuu wa Mkoa wa...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU MARA KWA MARA

Habari na picha na Rajabu Mwenda Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Mheshimiwa Dr Seif S. Rashid alisema juzi siku ya jumamosi 02/02/2014 katika msikiti wa kichangani magomeni Dar-es-salaam ambako alikuwa mgeni rasmi katika zoezi la kuchangia damu ambalo liliratibiwa na Mpango wa Taifa wa damu salama kanda ya mashariki kwa kushirikiana na Jumuiya ya akhlaaqul Islaam (JAI)  Akisoma hotuba kwa niaba ya waziri wa afya kaimu mkurugenzi wa tiba wizara ya afya Dr Hadiel senkoro alisema, viongozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je kuchangia kiungo cha mwili ni mwiko ?

Ni nadra sana kwa nchi nyingi za kiafrika kusikia mtu anaahidi kuchangia kiungo chake cha mwili.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wagoma kuchangia mafuta kusafirisha mwili wa mwenzao

Na Ahmed Makongo, Bunda
POLISI wilayani Bunda, mkoani Mara, wanadaiwa kugoma kuchangia fedha za mafuta kwa ajili ya kusafirisha mwili wa askari mwenzao, Koplo Mahamudu Magasa, aliyefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria kwa muda mfupi.
Mafuta hayo yalikuwa yanatakiwa kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Koplo Mahamudu kwenda nyumbani kwako, Wilaya ya Mahenge, mkoani Morogoro.
MTANZANIA jana ilifika Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Bunda na kukuta umati mkubwa wa askari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani