Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATHARI ZA CHAI, KAHAWA KWA VIUNGO VYA MWILI

KAMA mtakumbuka, katika toleo la Uwazi namba 846, Juni 10 – 16, 2014, tuliongelea madhara ya matumizi makubwa ya bidhaa zenye caffeine na kahawa ikiwa yenye kiwango kikubwa. Wasomaji wengi mliuliza maswali mengi mkitaka kujua zaidi kuhusu athari za caffeine, hasa kwa upande wa maumivu ya mifupa na nyonga. Mlikuwa sahihi kwa kuwa ni kweli wengi wetu tunaumwa maradhi ya mifupa na hasa nyonga, magoti na mgongo. Kitaalamu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ATHARI ZA MAAMBUKIZI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI

Maambukizi kitaalamu huitwa ‘Pelvic Inflammatory Diseases’. Maambukizi haya huwa sugu na huchukua muda mrefu mwanamke kupona endapo atakuwa na tatizo hili.Maambukizi hushambulia kizazi na mirija ya mayai na viungo jirani kama vile kibofu cha mkojo na tumbo. Chanzo cha maambukizi
Maambukizi haya huwapata wanawake walio katika umri wa miaka 15 hadi 25 ambao tunasema wapo katika umri wa kuzaa. Vimelea vya ugonjwa huu...

 

5 years ago

Michuzi

TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.

Kutoka Kushoto aliyeshika kipaza sauti ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mh. Brig. Gaguti, akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mh. Rashid Mwaimu, Mkuu wa wilaya ya Karagwe Mh. Godfrey Muheruka, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine na mwenyekiti wa chama cha KDCU LTD Anselemi Alphonce.

Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....

 

11 years ago

GPL

KAHAWA, CHAI: KUNYWA LAKINI KWA UANGALIFU!

Nijamii halisi ya dawa. Ukinywa kahawa wakati umechoka, baada ya dakika tano uchovu wote huisha. Ila, unatakiwa unywe kahawa kwa  nadra kwa kuwa kahawa pamoja na vinywaji vyote vyenye ‘Caffeine’ ni ulevi ambao ukiuendekeza huweza kuwa ‘teja’ wa vinywaji hivyo (addicted). Kahawa iliyoandaliwa tayari kwa kunywewa. Kahawa ndiyo yenye kiwango kikubwa cha ‘Caffeine’ kuliko vinywaji vingine...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waislamu waombwa kuchangia viungo vya Mwili

Hospitali za Uingereza zimeanza kuwashawishi Waislamu kuchangia viungo vyao kwa wagonjwa ambao wanahitaji figo au maini.

 

9 years ago

GPL

HAPPINESS MASSAGE CLINIC, WANATIBU MATATIZO YA VIUNGO VYA MWILI

Combination massage (Masaji mchanganyiko) Relaxation massage (Masaji ya kutoa uchovu) Body scrub…

 

10 years ago

Mwananchi

Vinywaji vya kusisimua akili, kutia mwili nguvu, vina athari za kiafya

Wengine, hasa madereva, hupenda kutumia vinywaji hivi ili kuondoa uchovu na kuwafanya wasipate usingizi. Hufanya hivyo ili wasisinzie na kusababisha wasababishe ajali.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je unatumia viungo vya chakula kwa namna inayofaa kwa manufaa ya afya yako?

Viungo kwenye chakula vimekuwa vikitumiwa kwa miaka mingi sana. Binzari' Turmeric' na pilipili zimefanyiwa utafiti katika miongo ya hivi karibuni... Lakini je huwa tunatumia viungo hivyo ipasavyo kwa ajili ya afya zetu au la?

 

10 years ago

Mtanzania

Sita wakamatwa kwa kuuza viungo vya binadamu

kamugishaNa Paul Kayanda, Kahama
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewatia mbaroni watu sita wakiwa katika harakati za kuuza viungo vinavyosadikiwa kuwa vya binadamu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema watuhumiwa hao walikamatwa Mei 20 mwaka huu saa saba mchana wakiwa katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Mtaa wa Phantom, Kata ya Nyasubi wilayani hapa.

Alisema katika msako huo ulioendeshwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani