Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATHARI ZA MAAMBUKIZI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI

Maambukizi kitaalamu huitwa ‘Pelvic Inflammatory Diseases’. Maambukizi haya huwa sugu na huchukua muda mrefu mwanamke kupona endapo atakuwa na tatizo hili.Maambukizi hushambulia kizazi na mirija ya mayai na viungo jirani kama vile kibofu cha mkojo na tumbo. Chanzo cha maambukizi
Maambukizi haya huwapata wanawake walio katika umri wa miaka 15 hadi 25 ambao tunasema wapo katika umri wa kuzaa. Vimelea vya ugonjwa huu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE-2

Wiki hii nitaendelea na makala haya niliyoanza wiki iliyopita. Kuwa na mpenzi mpya na kufanya naye ngono bila ya kumfahamu vizuri tena bila kutumia kondom, pia ni chanzo kikubwa cha kupata madhara haya. Kuanza ngono katika umri mdogo kati ya miaka kumi hadi 19 ni mojawapo ya chanzo cha tatizo. Ni vizuri msichana usubiri hadi wakati wako ufike, kuanza ngono katika umri mdogo pia ni chanzo kikuu cha kupata kansa au saratani ya...

 

9 years ago

GPL

MAAMBUKIZI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE-3

Wiki hii nitazungumzia matibabu na ushauri kuhusiana na tatizo hili. Matibabu mazuri hutegemea na uchunguzi makini wa awali, tatizo likiwa changa na kabla mwanamke hajaanza kutumia dawa mara kwa mara kwa tatizo hilo, hivyo basi, kwa umakini wa tiba unashauriwa uwaone madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama katika hospitali za mikoa ingawa uchunguzi na tiba za awali unaweza kupata katika vituo vya afya na hospitali za wilaya....

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA CHAI, KAHAWA KWA VIUNGO VYA MWILI

KAMA mtakumbuka, katika toleo la Uwazi namba 846, Juni 10 – 16, 2014, tuliongelea madhara ya matumizi makubwa ya bidhaa zenye caffeine na kahawa ikiwa yenye kiwango kikubwa. Wasomaji wengi mliuliza maswali mengi mkitaka kujua zaidi kuhusu athari za caffeine, hasa kwa upande wa maumivu ya mifupa na nyonga. Mlikuwa sahihi kwa kuwa ni kweli wengi wetu tunaumwa maradhi ya mifupa na hasa nyonga, magoti na mgongo. Kitaalamu...

 

10 years ago

GPL

DALILI ZA MAAMBUKIZI KATIKA MFUMO WA UZAZI

Mama mgonjwa mwenye maambukizi katika mfumo wa uzazi huwa na dalili zisizo na mpaka na mara nyingi huambatana na maumivu ya ghafla ya tumbo. Kama maumivu hayo yamesababishwa na kisonono (gonococcol infection), dalili hutokea mapema sana yaani kati ya siku tatu hadi nne na kama ni wadudu wa Chylamydia huchukua siku tano hadi saba kupata maumivu ya tumbo. Dalili nyingine ni mgonjwa kupata homa pamoja na kichwa kuuma na kutokwa na...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Athari za dawa ya meno kwa mbegu za uzazi

Wanasayansi wanasema kemikali zinazopatikana katika dawa ya kusugua meno na sabuni zinaweza kuharibu mbegu za uzazi za wanaume.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuna hatari gani ya maambukizi unapoogelea baharini na katika mabwawa?

Kwa kuwa hakuna tafiti za moja kwa moja kuhusu uhai wa virusi hivyo katika maji, shirika la Afya duniani WHO limepata mapendekezo yake kupitia ushahidi mwengine wa tafiti za kisayansi kuhusu virusi vya corona.

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUGUNDUA MAAMBUKIZI KWENYE UZAZI (DIAGNOSIS OF PID)

Kama tulivyokwisha kusoma wiki iliyopita katika safu hii dalili za maambukizi kwenye viungo vya uzazi kwa mwanamke kama vile kutokwa uchafu sehemu za siri, homa, maumivu chini ya kitovu, kutokwa na hedhi bila mpangilio, maumivu wakati wa tendo la ndoa na maumivu wakati wa kutoka hedhi  na nyinginezo, hivyo basi ili kugundua ugonjwa wa PID ni lazima kuchukua historia vizuri ya mgonjwa. Daktari atampima tumbo mama ili kugundua...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Je maafisa wa usalama wa Afrika wanazingatia haki za raia katika udhibiti wa maambukizi?

Askari wenye silaha wamekua wakiwapiga na kuwarushia maji ya gesi watu katika maeneo mbalimbali ya mataifa ya Afrika na wengine kufikia hata kuwauwa ili kuhakikisha kuwa hatua za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa corona zinachukuliwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani