Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINSI YA KUGUNDUA MAAMBUKIZI KWENYE UZAZI (DIAGNOSIS OF PID)

Kama tulivyokwisha kusoma wiki iliyopita katika safu hii dalili za maambukizi kwenye viungo vya uzazi kwa mwanamke kama vile kutokwa uchafu sehemu za siri, homa, maumivu chini ya kitovu, kutokwa na hedhi bila mpangilio, maumivu wakati wa tendo la ndoa na maumivu wakati wa kutoka hedhi  na nyinginezo, hivyo basi ili kugundua ugonjwa wa PID ni lazima kuchukua historia vizuri ya mgonjwa. Daktari atampima tumbo mama ili kugundua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kipimajoto kinaweza kugundua maambukizi ya corona?

Kipima joto kinaweza kutumika kubaini ikiwa mtu ameambukizwa virusi vya corona?

 

10 years ago

GPL

DALILI ZA MAAMBUKIZI KATIKA MFUMO WA UZAZI

Mama mgonjwa mwenye maambukizi katika mfumo wa uzazi huwa na dalili zisizo na mpaka na mara nyingi huambatana na maumivu ya ghafla ya tumbo. Kama maumivu hayo yamesababishwa na kisonono (gonococcol infection), dalili hutokea mapema sana yaani kati ya siku tatu hadi nne na kama ni wadudu wa Chylamydia huchukua siku tano hadi saba kupata maumivu ya tumbo. Dalili nyingine ni mgonjwa kupata homa pamoja na kichwa kuuma na kutokwa na...

 

10 years ago

GPL

ATHARI ZA MAAMBUKIZI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI

Maambukizi kitaalamu huitwa ‘Pelvic Inflammatory Diseases’. Maambukizi haya huwa sugu na huchukua muda mrefu mwanamke kupona endapo atakuwa na tatizo hili.Maambukizi hushambulia kizazi na mirija ya mayai na viungo jirani kama vile kibofu cha mkojo na tumbo. Chanzo cha maambukizi
Maambukizi haya huwapata wanawake walio katika umri wa miaka 15 hadi 25 ambao tunasema wapo katika umri wa kuzaa. Vimelea vya ugonjwa huu...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUTAMBUA MAGONJWA YANAYOATHIRI AFYA YA UZAZI

KUNA dalili nyingi za kugundua kama una magonjwa ambayo yanaathiri viungo vya uzazi kwa upande wa wanawake na wanaume. Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba  wana ugonjwa ambao utaathiri afya ya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu wakigundua lolote kati ya haya yafuatayo:- Majimaji ya ukeni ambayo yana harufu isiyo ya kawaida na yenye rangi tofauti na...

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI

Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...

 

11 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kujikinga na maambukizi ya ebola

Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kirusi kiitwacho ebola. Kirusi hicho ni moja kati ya familia ya virusi watatu toka katika familia ya filoviridiae.

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

Hili ni tatizo linalosababisha ugumba kwa wanawake kwa kiasi kikubwa. Wanawake wanaoshindwa kupata ujauzito hukabiliwa na matatizo matatu; Kwanza kabisa ni kuziba kwa mirija ya mayai kama tutakavyoona leo na pili ni matatizo katika mfumo wa homoni ambapo kuna sababu zake tutakuja kuziona katika matoleo yajayo. Hata hivyo, dalili kuu ni kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi, kutopata hedhi na kupata damu kwa muda mrefu au muda mfupi...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI-2

Leo naendelea kuelezea namna ya kukabiliana na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambalo limekuwa likiwasumbua baadhi ya watu na kusababisha washindwe kupata watoto. CHANZO CHA TATIZO
Tumeshaona aina kuu tatu za uzibaji wa mirija ya uzazi ambazo ni mwishoni, katikati na mwanzoni. Chanzo kikuu cha uzibaji huu ni maambukizi sugu ya kizazi ambayo kitaalam huitwa ‘pelvic inflamatory Diseases’ au kwa kifupi huitwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ya kujiepusha na maambukizi wakati wa Ramadhan

Wakati wa Ramadhan Waislam wanatakiwa kujinyima kula na kunywa kuanzia machweo hadi jua linapotua

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani