Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINSI YA KUTAMBUA MAGONJWA YANAYOATHIRI AFYA YA UZAZI

KUNA dalili nyingi za kugundua kama una magonjwa ambayo yanaathiri viungo vya uzazi kwa upande wa wanawake na wanaume. Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba  wana ugonjwa ambao utaathiri afya ya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu wakigundua lolote kati ya haya yafuatayo:- Majimaji ya ukeni ambayo yana harufu isiyo ya kawaida na yenye rangi tofauti na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI JINSI YA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO DAR

Daktari Mwandamizi Dharura na Maafa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Mary Kitambi akitoa mada jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali jana jijini Dar es salaam wakati wa semina ya waandishi wa habari jinsi ya kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Gain Marc Van Amengen (kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Madini adui yanayoathiri afya

Unaweza kufikiri ni hadithi, lakini ukweli ni kwamba watoto wengi wanaozaliwa kijijini Mtakuja Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wengi wao wamepinda miguu, kuharibika ubongo na wengine kupata meno yenye rangi ya kahawia.

 

9 years ago

Mwananchi

Jinsi ya kutambua kura zilizoharibika, halali

Dar es Salaam. Jumapili ni siku muhimu ya kuhitimisha harakati za kisiasa zilizodumu kwa takribani miezi sita ikijumuisha kutangaza nia, kuchukua fomu, kutafuta wadhamini, uteuzi ndani ya vyama mpaka kampeni za majukwaani. Kufanikisha hilo, unatakiwa kufahamu yafuatayo:

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : jinsi ya kutambua ujumbe sahihi

Ninaamini unafahamu nini inabidi kifanyike ili yapatikane mawasiliano ya kauli. Kuna vitendo viwili vya kuzungumza na kusikiliza, unaelewa fika kuwa ili mchakato wa kutuma ujumbe ukamilike unatakiwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

 

10 years ago

GPL

MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAUME NA JINSI YA KUYAKABILI

Viungo vya uzazi vya mwanaume vimegawanyika katika sehemu kuu mbili. Kuna viungo vya uzazi vya nje na vile vya ndani. Viungo vya uzazi vya nje ni vile tunavyoviona kama uume na mfuko wa korodani.
Viungo vya uzazi vya ndani ni mirija ya mbegu za kiume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu na tezi dume au tezi ya ‘Prostate’. Viungo hivi vyote vina umuhimu mkubwa kwa mwanaume katika kumfanikisha kuweza kufanya tendo...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

Hili ni tatizo linalosababisha ugumba kwa wanawake kwa kiasi kikubwa. Wanawake wanaoshindwa kupata ujauzito hukabiliwa na matatizo matatu; Kwanza kabisa ni kuziba kwa mirija ya mayai kama tutakavyoona leo na pili ni matatizo katika mfumo wa homoni ambapo kuna sababu zake tutakuja kuziona katika matoleo yajayo. Hata hivyo, dalili kuu ni kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi, kutopata hedhi na kupata damu kwa muda mrefu au muda mfupi...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUGUNDUA MAAMBUKIZI KWENYE UZAZI (DIAGNOSIS OF PID)

Kama tulivyokwisha kusoma wiki iliyopita katika safu hii dalili za maambukizi kwenye viungo vya uzazi kwa mwanamke kama vile kutokwa uchafu sehemu za siri, homa, maumivu chini ya kitovu, kutokwa na hedhi bila mpangilio, maumivu wakati wa tendo la ndoa na maumivu wakati wa kutoka hedhi  na nyinginezo, hivyo basi ili kugundua ugonjwa wa PID ni lazima kuchukua historia vizuri ya mgonjwa. Daktari atampima tumbo mama ili kugundua...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI-2

Leo naendelea kuelezea namna ya kukabiliana na tatizo la kuziba mirija ya uzazi ambalo limekuwa likiwasumbua baadhi ya watu na kusababisha washindwe kupata watoto. CHANZO CHA TATIZO
Tumeshaona aina kuu tatu za uzibaji wa mirija ya uzazi ambazo ni mwishoni, katikati na mwanzoni. Chanzo kikuu cha uzibaji huu ni maambukizi sugu ya kizazi ambayo kitaalam huitwa ‘pelvic inflamatory Diseases’ au kwa kifupi huitwa...

 

10 years ago

GPL

MAGONJWA YA KIKE NA JINSI YA KUKABILIANA NAYO (GYNO PROBLEMS)-2

Uvimbe katika viungo vya uzazi vya mwanamke ‘Pelvic Mass’
Uvimbe katika viungo vya uzazi vya mwanamke ni tatizo sugu  linalosumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa. \Hakuna chanzo halisi cha uvimbe ingawa baadhi husababishwa na matatizo katika mfumo wa homoni.
Uvimbe katika viungo vya uzazi vipo nje na ndani. Uvimbe unaweza kuwa mkubwa kama mimba au mdogomdogo na mwingi. Uvimbe pia unaweza kuwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani