Jinsi ya kutambua kura zilizoharibika, halali
Dar es Salaam. Jumapili ni siku muhimu ya kuhitimisha harakati za kisiasa zilizodumu kwa takribani miezi sita ikijumuisha kutangaza nia, kuchukua fomu, kutafuta wadhamini, uteuzi ndani ya vyama mpaka kampeni za majukwaani. Kufanikisha hilo, unatakiwa kufahamu yafuatayo:
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Sep
SAIKOLOJIA : jinsi ya kutambua ujumbe sahihi
Ninaamini unafahamu nini inabidi kifanyike ili yapatikane mawasiliano ya kauli. Kuna vitendo viwili vya kuzungumza na kusikiliza, unaelewa fika kuwa ili mchakato wa kutuma ujumbe ukamilike unatakiwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/MOC7BqAcxPuCVavomtvEX4NKJ95-gU0g7yzSoTX1Ar31muVaKU*rYqD1cD2lkBFc3*EeorvjSzYM909YWMk6urrmFIQCl-Vd/gonjwa.jpg?width=650)
JINSI YA KUTAMBUA MAGONJWA YANAYOATHIRI AFYA YA UZAZI
KUNA dalili nyingi za kugundua kama una magonjwa ambayo yanaathiri viungo vya uzazi kwa upande wa wanawake na wanaume. Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba wana ugonjwa ambao utaathiri afya ya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu wakigundua lolote kati ya haya yafuatayo:- Majimaji ya ukeni ambayo yana harufu isiyo ya kawaida na yenye rangi tofauti na...
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Kura ya maoni kuhusu Crimea si halali
Umoja wa mataifa umetangaza hatua ya Urusi kuandaa kura ya maoni kuhusu eneo la Crimea ni haramu, unaunga mkono uhuru wa Ukraine.
9 years ago
Raia Mwema07 Nov
Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura
Hatimaye uchaguzi umemalizika!
Kitila Mkumbo
10 years ago
Bongo508 Dec
Video: Mtazame Happiness Watimanywa akifafanua jinsi ya kumpigia kura
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ambaye kwa sasa yupo kwenye kinyang’anyiro cha Miss World nchini Uingereza, amewatumia ujumbe Watanzania jinsi anavyoendelea na mashindapo pamoja njia za kumfanya aibuke kidedea na taji hilo. Pia ameaitumia ujumbe Bongo5 akisema: Asanteni sana kwa wote mnaoendelea kuniunga mkono. Hadi sasa tunafanya vizuri Miss World. Tunaweza kufanya vizuri zaidi.”
9 years ago
MichuziBODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.
10 years ago
Michuzi19 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-O_y3hvOqBGA/VYO5ZMrZosI/AAAAAAAAEvQ/gPU-cvTTJq0/s72-c/kitambi.jpg)
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-O_y3hvOqBGA/VYO5ZMrZosI/AAAAAAAAEvQ/gPU-cvTTJq0/s320/kitambi.jpg)
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania