Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madini adui yanayoathiri afya

Unaweza kufikiri ni hadithi, lakini ukweli ni kwamba watoto wengi wanaozaliwa kijijini Mtakuja Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, wengi wao wamepinda miguu, kuharibika ubongo na wengine kupata meno yenye rangi ya kahawia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JINSI YA KUTAMBUA MAGONJWA YANAYOATHIRI AFYA YA UZAZI

KUNA dalili nyingi za kugundua kama una magonjwa ambayo yanaathiri viungo vya uzazi kwa upande wa wanawake na wanaume. Kwa upande wa wanawake, wanaweza kutambua kwamba  wana ugonjwa ambao utaathiri afya ya uzazi kwa kutokwa na majimaji au ute kwenye uke. Wanawake wanapaswa kutafuta msaada wa kimatibabu wakigundua lolote kati ya haya yafuatayo:- Majimaji ya ukeni ambayo yana harufu isiyo ya kawaida na yenye rangi tofauti na...

 

11 years ago

Habarileo

Waajiri sekta ya madini kutupiwa jicho afya za wafanyakazi

SERIKALI imesema haitalifumbia macho suala la waajiri wa sekta ya madini na nishati ambao wamekuwa wakiwafukuza wafanyakazi baada ya kupata matatizo ya kiafya wakiwa kazini.

 

11 years ago

Mwananchi

UTI: Maambukizi ya njia ya mkojo yanayoathiri mamia ya wanawake nchini

>Katika magonjwa yanayosumbua wanawake wengi na watoto nchini hivi sasa ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo U.T.I (Urinary Tract Infection).

 

10 years ago

Michuzi

Tume iibue masuala yanayoathiri haki za binadamu - Dkt. Migiro

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam jana (Jumanne, Feb 24, 2015). Kulia kwake ni Naibu Waziri Ummy Mwalimu na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Wakili Bahame Tom Nyanduga na Katibu Mtendaji Bi. Mary Massay. Waziri alifanya ziara katika ofisi za Tume hiyo kubadilishana mawazo na uzoefu. Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu wakiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Migiro: Tume iibue masuala yanayoathiri haki za binadamu

WKS CHRGG 1

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro akiongea na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam jana (Jumanne, Feb 24, 2015). Kulia kwake ni Naibu Waziri Ummy Mwalimu na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Wakili Bahame Tom Nyanduga na Katibu Mtendaji Bi. Mary Massay. Waziri alifanya ziara katika ofisi za Tume hiyo kubadilishana mawazo na uzoefu.

WKS CHRGG 2

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu wakiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI, MAKAMPUNI YA MADINI ‘KUWANOA’ WAZAWA KATIKA USHIRIKISHWAJI SEKTA YA MADINI

Kaimu Kamishna wa Madini, Mhandisi Ally Samaje akiwakaribisha wajumbe wa mkutano wa kujadili ushirikishwaji wazawa (local content) katika sekta ya madini uliofanyika jijini Mwanza hivi karibuni. Waliokaa meza kuu kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi Kitengo cha Uchumi na Biashara, Salim Salim, Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Ndalo Kulwijila na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele. Mwanasheria wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Rose Mponguliana akiwasilisha mada kuhusu...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikisho la Madini Thailand kuisaidia Tanzania kuwa kitivo cha Madini Afrika

Na Asteria Muhozya, Bangkok,   Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali hususani madini ya vito na usonara tofauti na nchi nyingi za Kiafrika, yakiwemo madini ya Tanzanite, Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand, limehaidi kuisaidia Tanzania kuikuza sekta hiyo, katika nyanja za kibiashara na kiuchumi ili kuifanya Tanzania kuwa, kitivo kikubwa cha madini barani Afrika, huku ikianzia na kuboresha maonesho ya kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini

Ministry_of_Energy_and_Minerals_Building,_Dar_es_Salaam,_Tanzania

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO

Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani