Shirikisho la Madini Thailand kuisaidia Tanzania kuwa kitivo cha Madini Afrika
![](http://3.bp.blogspot.com/-T6FsD0nwTm4/UxF_KBgcR-I/AAAAAAAFQWM/IY_MmSfqmmM/s72-c/unnamed+(78).jpg)
Na Asteria Muhozya, Bangkok, Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali hususani madini ya vito na usonara tofauti na nchi nyingi za Kiafrika, yakiwemo madini ya Tanzanite, Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand, limehaidi kuisaidia Tanzania kuikuza sekta hiyo, katika nyanja za kibiashara na kiuchumi ili kuifanya Tanzania kuwa, kitivo kikubwa cha madini barani Afrika, huku ikianzia na kuboresha maonesho ya kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s72-c/unnamedn.jpg)
Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika
![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s1600/unnamedn.jpg)
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...
10 years ago
MichuziTanzania, Thailand kushirikiana katika madini na vito
9 years ago
Michuzi26 Oct
9 years ago
StarTV21 Sep
Tanzania yateuliwa kuwa Kitivo cha taasisi
Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Afrika AU imeiteua Tanzania kuwa Kitivo cha Taasisi ya Elimu ya juu ya Sayansi ya Hesabu AIMS kwa ajili ya Wanafunzi wote wa Afrika wanaotaka kupata Shahada ya juu ya Somo hilo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Stadi Dokta Shukuru Kawambwa amesema kuanzishwa kwa chuo hicho ni mpango wa Afrika kuibua Wasomi wa Hesabu watakaotumika kama nyenzo ya kuwavutia vijana wengi kulipenda somo hilo.
Dokta Kawambwa amesema Chuo hicho ambacho kimejenga kwenye majengo ya...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QUCwkoFmTIk/UwWsTfLRElI/AAAAAAAFOQo/i7vFk6TyQh0/s72-c/unnamed+(54).jpg)
Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu
![](http://3.bp.blogspot.com/-QUCwkoFmTIk/UwWsTfLRElI/AAAAAAAFOQo/i7vFk6TyQh0/s1600/unnamed+(54).jpg)
Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014. Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry Fair’.
![](http://1.bp.blogspot.com/-oqEdVUP7w4s/UwWsVe_8auI/AAAAAAAFOQw/qSY8s0sNPlU/s1600/unnamed+(55).jpg)
10 years ago
Michuzi13 Aug
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-b4G2aC-a-dg/UwxamSy1P4I/AAAAAAAFPak/915helkOex8/s72-c/TANZANIAONE1.jpg)
Balozi Ami Mpungwe ateuliwa kuwa mwenyekiti wa (Chemba ya Madini na Nishati Tanzania)
![](http://3.bp.blogspot.com/-b4G2aC-a-dg/UwxamSy1P4I/AAAAAAAFPak/915helkOex8/s1600/TANZANIAONE1.jpg)
Pamoja na kuwa Balozi mstaafu na kiongozi mzoefu wa sekta ya madini, Balozi Mpungwe, yupo katika nafasi nzuri ya kuiongoza Chemba kukua kiuongozi katika nafasi yake kama kioo cha sekta ya madini na kuwa kiunganishi...
10 years ago
Michuzi21 Aug