Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Ami Mpungwe ateuliwa kuwa mwenyekiti wa (Chemba ya Madini na Nishati Tanzania)

Chemba ya Madini na Nishati Tanzania (TCME) imemteua Balozi mstaafu, Bwana Ami Mpungwe kuwa mwenyekiti wake. Uteuzi huu wa Bwana Mpungwe kwa mara nyingine, unalenga kujizatiti kikamilifu kwa kuwaleta pamoja washikadau na umma  kushirikiana katika masuala ya sekta ya madini. 
Pamoja na kuwa Balozi mstaafu na kiongozi mzoefu wa sekta ya madini, Balozi Mpungwe, yupo katika nafasi nzuri ya kuiongoza Chemba kukua kiuongozi katika nafasi yake kama kioo cha sekta ya madini na kuwa kiunganishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Balozi Rajabu Hassan Gamaha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.


 Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,

Dar es Salaam


27 Aprili 2015

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia ) akizungumza na balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake leo kwa ajili ya maandalizi ya kongamano la China – Afrika linalotarajiwa kufanyika mkoani Arusha, Tanzania mapema Machi, 2015. Balozi wa China nchini Tanzania Dr. LU Youqing (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (kulia) juu ya hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya kongamano hilo.

 

10 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto ateuliwa kuwa balozi wa tuzo za Kora Tanzania

Waandaji wa tuzo za Kora wamemteua Mrisho Mpoto kuwa balozi wake nchini Tanzania. Kora imemtumia barua Mpoto kumtaarifu kuhusu uteuzi huo. “KILA ASUBUHI TUNAOMBA TUPATE NAFASI YA KULETA BABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATU, LEO TIMEPATA ASANTE TUZO ZA KORA KWA KUNICHAGUA KUWA BALOZI WA HERI KWENYE NCHI YANGU  YA TANZANIA NAAMINI TUNAWEZA KUPIGANIA AFRICA ISIYO […]

 

9 years ago

Vijimambo

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.



Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo
Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.
Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...

 

9 years ago

Michuzi

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania nchini marekani

flavy   Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo. Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...

 

10 years ago

Michuzi

Jack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.
IMETOLEWA NAKATIBU MKUUWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFADar es Salaam,Septemba 30, 2014

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe ateuliwa kuwa mwenyekiti wa AU

Rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe, mwenye umri wa miaka tisini, sasa ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa muungano wa Afrika-AU.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani