Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika
![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s72-c/unnamedn.jpg)
Na Greyson Mwase, Bagamoyo
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T6FsD0nwTm4/UxF_KBgcR-I/AAAAAAAFQWM/IY_MmSfqmmM/s72-c/unnamed+(78).jpg)
Shirikisho la Madini Thailand kuisaidia Tanzania kuwa kitivo cha Madini Afrika
10 years ago
MichuziWATHAMINI MADINI VITO WAASWA KUWA WABUNIFU
10 years ago
MichuziTanzania, Thailand kushirikiana katika madini na vito
9 years ago
Habarileo16 Oct
Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha maziwa
SERIKALI imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwa kuwa ina mazingira yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
9 years ago
Michuzi26 Oct
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IqC97l29FIU/VRA6W2MSwGI/AAAAAAAHMgo/6E9Z_l_Z8h0/s72-c/DSC_0973.jpg)
TANZANIA NI NCHI YA SITA KWA KUWA NA IDADI KUBWA YA WATU WENYE UGONJWA WA KIFUA KIKUU BARANI AFRIKA
Utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 30 ya vifo vya watu walioathirika na Ukimwi vinatokana na Ugomjwa wa Kifua Kukuu na inakadiriwa kuwa tangu kuanza kwa ugonjwa wa ukimwi, kati ya asilimia tano (5) hadi 10 ya watu wenye VVU wana ugonjwa wa kifua kikuu na takribani ya asilimia 40 wanaouguwa kifua kikuu wana maambukizo ya VVU.
Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dk.Donan Mmbando wakati akitangaza maadhimisho ya siku...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rcQZ-rKDDhQ/VNCmKPgyx2I/AAAAAAAHBRE/-IgLPlTyqt4/s72-c/unnamed%2B(27).jpg)
uhaba wa walimu na watalamu wa kundisha namna ya ukataji vito na madini ni tatizo kubwa katika sekta ya madini
Sekta ya madini nchini bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo uhaba wa walimu na wataalamu wa kufundisha namna ya ukataji wa vito vya madini hali inayosababisha kuuzwa kwa madini ghafi nje ya nchi na kupelekea kuuzwa kwa bei ya chini na pesa nyingi kwenda nje ya nchi .
Hayo yameelezwa na mratibu wa kituo cha Jimolojia Tanzania,Musa Shanyangi wakati akiongea na waandishi wa habari katika kituo hicho kinachotoa mafunzo ya ukataji madini ya vito,ambapo wameanza...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QUCwkoFmTIk/UwWsTfLRElI/AAAAAAAFOQo/i7vFk6TyQh0/s72-c/unnamed+(54).jpg)
Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu
![](http://3.bp.blogspot.com/-QUCwkoFmTIk/UwWsTfLRElI/AAAAAAAFOQo/i7vFk6TyQh0/s1600/unnamed+(54).jpg)
Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014. Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry Fair’.
![](http://1.bp.blogspot.com/-oqEdVUP7w4s/UwWsVe_8auI/AAAAAAAFOQw/qSY8s0sNPlU/s1600/unnamed+(55).jpg)