TANZANIA Kukuza Soko La Madini Ya Vito Kwa Kufuata Nyayo Za Thailand
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTanzania, Thailand kushirikiana katika madini na vito
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QUCwkoFmTIk/UwWsTfLRElI/AAAAAAAFOQo/i7vFk6TyQh0/s72-c/unnamed+(54).jpg)
Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu
![](http://3.bp.blogspot.com/-QUCwkoFmTIk/UwWsTfLRElI/AAAAAAAFOQo/i7vFk6TyQh0/s1600/unnamed+(54).jpg)
Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014. Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry Fair’.
![](http://1.bp.blogspot.com/-oqEdVUP7w4s/UwWsVe_8auI/AAAAAAAFOQw/qSY8s0sNPlU/s1600/unnamed+(55).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T6FsD0nwTm4/UxF_KBgcR-I/AAAAAAAFQWM/IY_MmSfqmmM/s72-c/unnamed+(78).jpg)
Shirikisho la Madini Thailand kuisaidia Tanzania kuwa kitivo cha Madini Afrika
Na Asteria Muhozya, Bangkok,
Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali hususani madini ya vito na usonara tofauti na nchi nyingi za Kiafrika, yakiwemo madini ya Tanzanite, Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand, limehaidi kuisaidia Tanzania kuikuza sekta hiyo, katika nyanja za kibiashara na kiuchumi ili kuifanya Tanzania kuwa, kitivo kikubwa cha madini barani Afrika, huku ikianzia na kuboresha maonesho ya kimataifa ya madini ya vito na usonara ya Arusha...
9 years ago
MichuziTANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA MAONESHO YA VITO JIJINI BANGKOK, NCHINI THAILAND
10 years ago
Mwananchi28 May
Tanzania itakavyofaidi soko la vito vya thamani
Tanzania imebahatika kuwa na aina nyingi ya madini ya vito vya thamani kama vile dhahabu, almasi na Tanzanite.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s72-c/unnamedn.jpg)
Tanzania kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito Afrika
![](http://4.bp.blogspot.com/-ydmNf6OSy9E/U-4gUynykdI/AAAAAAAF_4Y/Umf45bDTC9Q/s1600/unnamedn.jpg)
Imeelezwa kuwa Tanzania inatarajia kuwa kitovu kikuu cha madini ya vito barani Afrika baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa madini ya vito. Hayo yalisemwa na mtaalamu wa madini ya vito na almasi kutoka Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Vito na Almasi (TANSORT) kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini Teddy Goliama kwenye semina iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda, Afisa Madini Wakazi na Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na...
9 years ago
MichuziMAONESHO YA VITO NA USONARA MJINI BANGKOK THAILAND
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania