Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONESHO YA VITO NA USONARA MJINI BANGKOK THAILAND

 Tanzania  kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeshiriki katika Maonesho ya VITO na USONARA nchini Thailand Banda la Tanzania limetia fora na kuwa kivutio kikubwa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA MAONESHO YA VITO JIJINI BANGKOK, NCHINI THAILAND

Wafanyabiashara wa madini kutoka Tanzania wakiendelea kuonesha madini ya vito katika Banda la Tanzania jijini Bangkok, Thailand. Nchi ya Thailand hufanya maonesho hayo kila mwaka ambapo huwaingizia fedha nyingi za kigeni zinazotokana na mauzo ya vito pamoja na utalii unaotokana na wageni wanaokuja kushiriki kwenye maonesho hayo kutoka nchi mbalimbali duniani. Baadhi ya Madini ya Vito kutoka Tanzania yakiwa katika banda la Tanzania kwa ajili ya mauzo kwa Wafanyabiashara wa nchi mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA 53 YA KIMATAIFA YA MADINI YA VITO NA USONARA YAFUNGULIWALIWA RASMI

Kamishna Msaidizi wa Madini ,Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Hamis Komba akiongea jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Thailand Mhe. Srirat Rastapana mara baada ya kufungua maonesho ya 53 ya “Bangkok Gems & Jewelry Fair” mapema leo. Nyuma ya Kamishna ni Bw. Edward Rweymamu ni Mthamini wa Madini ya Almas Wizara ya Nishati na Madini. Kushoto Mhe. Dora Mushi mfanyabiashara wa madini kutoka Arusha. Rais wa Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand Bw. Somchai...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maandamano yakithiri Bangkok,Thailand

Melfu ya waandamanaji wanaopinga serikali wamefurika katika barabara za mji mkuu wa Thailand ,Bangkok licha ya serikali kutangaza uchaguzi wa mapema nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANITE YAZIDI KUNG'ARA KWENYE MAONYESHO YA VITO NCHINI BANGKOK

Makamu wa Rais wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Madini ya Vito – Thailand, ambao ndiyo waandaaji wa Maonesho ya Vito ya Bangkok, Tony Brooks akizungumza na baadhi ya Watanzania wanaoshiriki katika Maonesho hayo nchini Thailand alipotembelea Banda la Tanzania. Mkuu wa Banda la Tanzania katika Maonesho ya Vito ya Bangkok ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo akimweleza mdau wa madini ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania, Thailand kushirikiana katika madini na vito

Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo (mwenye shati la batiki), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Madini ya Vito wa Thailand, walipotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya 54 ya Vito na Usonara ya Bangkok, yaliyofanyika Septemba 9 hadi 13 mwaka huu.Makamu wa kwanza wa Rais wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Madini ya Vito na Usonara wa Thailand, Bw. Sutipong...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani