Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano yakithiri Bangkok,Thailand

Melfu ya waandamanaji wanaopinga serikali wamefurika katika barabara za mji mkuu wa Thailand ,Bangkok licha ya serikali kutangaza uchaguzi wa mapema nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAONESHO YA VITO NA USONARA MJINI BANGKOK THAILAND

 Tanzania  kupitia Wizara ya Nishati na Madini imeshiriki katika Maonesho ya VITO na USONARA nchini Thailand Banda la Tanzania limetia fora na kuwa kivutio kikubwa.

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA MAONESHO YA VITO JIJINI BANGKOK, NCHINI THAILAND

Wafanyabiashara wa madini kutoka Tanzania wakiendelea kuonesha madini ya vito katika Banda la Tanzania jijini Bangkok, Thailand. Nchi ya Thailand hufanya maonesho hayo kila mwaka ambapo huwaingizia fedha nyingi za kigeni zinazotokana na mauzo ya vito pamoja na utalii unaotokana na wageni wanaokuja kushiriki kwenye maonesho hayo kutoka nchi mbalimbali duniani. Baadhi ya Madini ya Vito kutoka Tanzania yakiwa katika banda la Tanzania kwa ajili ya mauzo kwa Wafanyabiashara wa nchi mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo  maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).


Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...

 

10 years ago

Habarileo

Biashara ya fedha haramu yakithiri

Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Rished Bade KUSHAMIRI kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi ya Boko Haram yakithiri

Maafisa wakuu Nigeria wanasema kuwa Boko Haram, wameshambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Adamawa Kaskazini mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matukio ya wizi wa mifugo yakithiri

WANANCHI katika Wilaya Tarime mkoani Mara, wameiomba serikali kukomesha wizi wa mifugo unaotokea mara kwa mara wilayani humo, ambao unadaiwa kufanywa na watu kutoka nchi jirani. Wakizungumza na waandishi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Misungwi yakithiri kwa ukatili wa kijinsia

Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza imeelezwa kukithiri kwa ukatili wa kijinsia, huku idadi kubwa ya watu wanaofanyiwa vitendo hivyo ni wanawake na watoto.     

 

10 years ago

Mwananchi

Maambukizi ya VVU yakithiri kwa wanaojidunga dawa za kulevya

Serikali imetoka takwimu za utafiti wa maambukizi ya ukimwi nchini ukionyesha kuenea kwa kasi zaidi kwa maambukizi mapya ya VVU kwenye makundi maalumu ambayo ni wale wanaotumia dawa za kulevya ,Wanawake wanaofanya biashara ya ngono, na kundi la wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja.

 

5 years ago

Michuzi

KATA YA KITWIRU YAKITHIRI KWA VITENDO VYA UPORAJI NA UKABAJI.

Diwani wa Kata ya Kitwiru Baraka Kimata akiongea na wananchi jinsi ya kupambana na vitendo vya ukabaji na uporaji wa mali unaofanywa na vibaka katika mtaa wa Nyamuhanga( PICHA KUTOKA MAKTABA)

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Wananchi wa kata ya Kitwiru  Manispaa ya Iringa Wameiomba Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama kuanzisha mkakati maalum utakaowashirikisha wakazi wa maeneo hayo ili kudhibiti ongezeko la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo matumizi yamihadarati aina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani