Misungwi yakithiri kwa ukatili wa kijinsia
Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza imeelezwa kukithiri kwa ukatili wa kijinsia, huku idadi kubwa ya watu wanaofanyiwa vitendo hivyo ni wanawake na watoto. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa
TUNAPOZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, tunazungumzia somo pana sana. Hasa wakati huu tunapoandika Katiba yetu Mpya, ni lazima kuliangalia somo hili kwa umakini mkubwa. Jamii nzima inahusika na kuguswa na ukatili...
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Mtawa, dereva kizimbani kwa ukatili wa kijinsia
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MTAWA wa Kanisa Katoliki la Shirika la Watawa la Wamisionari wa Augustino, Flora Karimi (38), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za udhalilishaji wa kijinsia.
Flora (38), ambaye ni Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Monica ya Moshono, jijini Arusha, na dereva wa shule hiyo, Yasin Mswaiki (36), walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha.
Wakili wa Serikali, Sabina Silayo, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Jasmin Abdul kuwa Mswaki, ambayec ni mshitakiwa wa kwanza...
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Ukatili wa kijinsia soko la Temeke wapungua kwa asilimia 70
Mwezeshaji Sheria katika Soko la Temeke Sterio, Batuli Mkumbukwa (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mafanikio waliyopata ya kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kupatiwa mafunzo na Shirika la Equality for Growth (EfG). Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria, Christina Simon na Augenia Gwamakombe.
Mkuu wa Mgambo katika soko hilo, Onesmo Osward (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
Mfanyabiashara wa...
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Ripoti ya Tawla yabaini kukithiri kwa ukatili wa kijinsia
5 years ago
MichuziAGAPE YATOA ELIMU YA CORONA NA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAELIMISHAJI RIKA
Shirika la AGAPE ACP la mkoani Shinyanga linalotetea Haki za Watoto na Wanawake limetoa elimu ya ukatili wa kijinsia pamoja na namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona, kwa waelimishaji rika Kata ya Mwamala Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Elimu hiyo imetolewa leo Mei 28,2020 katika ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwamala kwa waelimishaji rika ambao ni viongozi wa dini, kimila, wazee maarufu, wakunga wa jadi, pamoja na vijana, kwa ufadhili wa Shirika la Mundo Cooperante.
Akizungumza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9L7nU0qkQW0/XlX-pvBFHNI/AAAAAAALfd4/Qd0dCe8uPG4Opd6o7YLwLeAAoSEoQS9mwCLcBGAsYHQ/s72-c/38fd253c-bc76-4487-88e4-328b0978cd93.jpg)
WANANCHI KIGOMA WAMEKUWA NA MWAMKO MKUBWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAKATI MADAWATI YA JINSIA YA POLISI
WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma wamekuwa na mwamko wa kutoa taarifa kwa wakati kwenye madawati ya jinsia ya polisi juu ya matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na watoto yanayowatokea.
Akisoma taarifa kwa kwa balozi wa umoja wa ulaya Manfredo Fanti,Mkuu wa dawati la jinsia ofisi za Kigoma mjini Inspeta Doris alisema kuwa kutokana na elimu ambayo wameitoa kuhusu ukatili wa jinsia na watoto pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa kwa wakati mara wanaposhuhudia tukio...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RWFvfYmJctg/VA1s0EjRydI/AAAAAAAGhp8/Uqyg-EfKNDE/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Ukatili wa kijinsia ukomeshwe
MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...
11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Fahamu aina za ukatili wa kijinsia
UKATILI wa kijinsia ni jambo kubwa kwenye ajenda za haki za binadamu kimataifa, na unaweza kuwapata wanaume, wanawake na watoo ambao ndio waathirika wakubwa. Hali hii inatokana na mifumo mbalimbali...