AGAPE YATOA ELIMU YA CORONA NA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAELIMISHAJI RIKA
Shirika la AGAPE ACP la mkoani Shinyanga linalotetea Haki za Watoto na Wanawake limetoa elimu ya ukatili wa kijinsia pamoja na namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona, kwa waelimishaji rika Kata ya Mwamala Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Elimu hiyo imetolewa leo Mei 28,2020 katika ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwamala kwa waelimishaji rika ambao ni viongozi wa dini, kimila, wazee maarufu, wakunga wa jadi, pamoja na vijana, kwa ufadhili wa Shirika la Mundo Cooperante.
Akizungumza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziAGAPE ACP YATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIANA NA CORONA VIJIJI VYA KATA YA MWAMALA SHINYANGA
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE ACP, John Myola (kushoto) akimkabidhi ndoo ya kunawia mikono Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko. Shirika limetoa msaada wa ndoo 62, sabuni 62 za maji na barakoa 150 kwa ajili ya kusaidia wananchi wa vijiji vya kata ya Mwamala halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
11 years ago
Dewji Blog03 May
Wasichana 30 jijini Mwanza wapatiwa mafunzo ya siku tano kuhusu elimu ya ukatili wa kijinsia majumbani
Mkufunzi wa Masuala ya Kijinsia Bi. Tumaini Kyola akitoa mafunzo kwa kundi la Wasichana 30 ambao hawako mashuleni juu ya mbinu mbalimbali za kuelemisha jamii kuhusu masuala Ukatili wa Majumbani na wa kingono pia. Wasichana hawa wanategemewa kwenda kuwafundisha wasichana wenzao wa mitaani, kila mmoja amepewa lengo la kufikia wasichana 50.
Baadhi ya wasichana 30 wakiwa makini kufuatilia mafunzo waliokuwa wakipatiwa na mkufunzi wao (hayupo pichani), hili ni kundi la kwanza kwa wasichana...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa
TUNAPOZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, tunazungumzia somo pana sana. Hasa wakati huu tunapoandika Katiba yetu Mpya, ni lazima kuliangalia somo hili kwa umakini mkubwa. Jamii nzima inahusika na kuguswa na ukatili...
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Misungwi yakithiri kwa ukatili wa kijinsia
5 years ago
MichuziDOCTORS WITH AFRICA YATOA ELIMU YA CORONA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII SHINYANGA
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Yudas Ndungile akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya utoaji wa elimu na kukabiliana na ugonjwa wa Corona.
Na Damian Masyenene - Shinyanga Press Club Blog
JUMLA ya watoa huduma za Afya ngazi ya jamii 109 kutoka Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyangawamepewa mafunzo na mbinu mbalimbali za namna ya kukabiliana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).
Mafunzo hayo yametolewa kwa watoa huduma hao 53 kutoka...
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Mtawa, dereva kizimbani kwa ukatili wa kijinsia
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MTAWA wa Kanisa Katoliki la Shirika la Watawa la Wamisionari wa Augustino, Flora Karimi (38), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za udhalilishaji wa kijinsia.
Flora (38), ambaye ni Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Monica ya Moshono, jijini Arusha, na dereva wa shule hiyo, Yasin Mswaiki (36), walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha.
Wakili wa Serikali, Sabina Silayo, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Jasmin Abdul kuwa Mswaki, ambayec ni mshitakiwa wa kwanza...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GLDDPJXVlpk/Xs5vIx_5xWI/AAAAAAALrv4/maDgdDmF9zw9P3AG9yo1ponBdXtVikCagCLcBGAsYHQ/s72-c/213.jpg)
SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Ukatili wa kijinsia soko la Temeke wapungua kwa asilimia 70
Mwezeshaji Sheria katika Soko la Temeke Sterio, Batuli Mkumbukwa (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mafanikio waliyopata ya kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kupatiwa mafunzo na Shirika la Equality for Growth (EfG). Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria, Christina Simon na Augenia Gwamakombe.
Mkuu wa Mgambo katika soko hilo, Onesmo Osward (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
Mfanyabiashara wa...
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Ripoti ya Tawla yabaini kukithiri kwa ukatili wa kijinsia