Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti ya Tawla yabaini kukithiri kwa ukatili wa kijinsia

Chama cha Wanasheria Wanawake (Tawla) kimezindua Ripoti ya Mapitio ya Ukatili wa Kijinsia nchini na kubaini kukithiri kwa matukio hayo waliyodai yanasababishwa na udhaifu wa sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wilaya ya Siha Kilimanjaro yatajwa kukithiri Ukatili Wa Kijinsia

Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro inatajwa kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa ukatili wa kijinsia hususani kwa wasichana walio chini ya miaka 18 kutokana na baadhi ya Wazazi  kuthamini fedha katika utoaji mahari kwa wasichana kuliko kujali utu.

Kwa mujibu wa takwimu za shirika la Kwieco kwa mwaka 2015, wilaya hiyo inaongoza kwa kuwa na asilimia 19 ya matukio yaliyothamini zaidi mahari kuliko utu, ikifuatiwa na wilaya ya Rombo yenye asilimia 13 wilaya nyingine zikiwa chini ya asilimia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ripoti ya ukatili wa kijinsia kuzinduliwa leo

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), leo saa 3:00 asubuhi kitazindua ripoti ya utafiti wa unyanyasaji wa kijinsia uliofanyika Desemba 2013 katika wilaya 20 za Tanzania Bara na Zanzibar. Taarifa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa

TUNAPOZUNGUMZIA ukatili wa kijinsia, tunazungumzia somo pana sana. Hasa wakati huu tunapoandika Katiba yetu Mpya, ni lazima kuliangalia somo hili kwa umakini mkubwa. Jamii nzima inahusika na kuguswa na ukatili...

 

9 years ago

Mwananchi

Misungwi yakithiri kwa ukatili wa kijinsia

Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza imeelezwa kukithiri kwa ukatili wa kijinsia, huku idadi kubwa ya watu wanaofanyiwa vitendo hivyo ni wanawake na watoto.     

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mtawa, dereva kizimbani kwa ukatili wa kijinsia


NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MTAWA wa Kanisa Katoliki la Shirika la Watawa la Wamisionari wa Augustino, Flora Karimi (38), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za udhalilishaji wa kijinsia. 
Flora (38), ambaye ni Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Monica ya Moshono, jijini Arusha, na dereva wa shule hiyo, Yasin Mswaiki (36), walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha.
Wakili wa Serikali, Sabina Silayo, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Jasmin Abdul kuwa Mswaki, ambayec ni mshitakiwa wa kwanza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ukatili wa kijinsia soko la Temeke wapungua kwa asilimia 70

Mwezeshaji  Sheria katika Soko la Temeke Sterio, Batuli Mkumbukwa (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mafanikio waliyopata ya kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya kupatiwa mafunzo na Shirika la Equality for Growth (EfG). Kushoto ni Mwezeshaji wa Sheria, Christina Simon na Augenia Gwamakombe.

Mkuu wa Mgambo katika soko hilo, Onesmo Osward (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.

Mfanyabiashara wa...

 

5 years ago

Michuzi

AGAPE YATOA ELIMU YA CORONA NA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAELIMISHAJI RIKA


Shirika la AGAPE ACP la mkoani Shinyanga linalotetea Haki za Watoto na Wanawake limetoa elimu ya ukatili wa kijinsia pamoja na namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona, kwa waelimishaji rika Kata ya Mwamala Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Elimu hiyo imetolewa leo Mei 28,2020 katika ofisi ya Mtendaji Kata ya Mwamala kwa waelimishaji rika ambao ni viongozi wa dini, kimila, wazee maarufu, wakunga wa jadi, pamoja na vijana, kwa ufadhili wa Shirika la Mundo Cooperante.

Akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI KIGOMA WAMEKUWA NA MWAMKO MKUBWA KUTOA TAARIFA ZA UKATILI WA KIJINSIA KWA WAKATI MADAWATI YA JINSIA YA POLISI

Editha Karlo,Kigoma.
WANANCHI wa Mkoa wa Kigoma wamekuwa na mwamko wa kutoa taarifa kwa wakati kwenye madawati ya jinsia  ya polisi juu ya matukio mbalimbali ya ukatili wa kijinsia na watoto  yanayowatokea.

Akisoma taarifa kwa  kwa balozi wa umoja wa ulaya Manfredo Fanti,Mkuu wa dawati la jinsia  ofisi za Kigoma mjini Inspeta Doris alisema kuwa kutokana na elimu ambayo wameitoa kuhusu ukatili wa jinsia na watoto pamoja na umuhimu wa kutoa taarifa  kwa wakati mara wanaposhuhudia tukio...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI KHADIJA LIGANGA ATOA SEMINA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NA UKATILI DHIDI YA WATOTO KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI MWANZA

Mwanaharakati toka Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI la jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo ya siku moja kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na ukatili Dhidi ya watoto kwa vijana takribani 100 wa jiji la Mwanza ikiwa ni hatua za kuwajenga vijana katika misingi ya kuachana na mila, tamaduni na dhana potofu zinazowakandamiza wanawake na watoto katika jamii.
Semina hiyo iliyoandaliwa na Teen Club Mwanza, ililenga Kujenga uwezo wa kutambua ukatili na unyanyasaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani