Matukio ya wizi wa mifugo yakithiri
WANANCHI katika Wilaya Tarime mkoani Mara, wameiomba serikali kukomesha wizi wa mifugo unaotokea mara kwa mara wilayani humo, ambao unadaiwa kufanywa na watu kutoka nchi jirani. Wakizungumza na waandishi wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Oct
Makazi ya watuhumiwa wizi wa mifugo yateketezwa
WATU wasiojulikana wamevamia na kuchoma zaidi ya nyumba 10 za watuhumiwa watano wa wizi wa mifugo na wengine wanaojihusisha na migogoro ya ardhi wilaya ya Rorya mkoani Mara.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Elias Goroi na suluhu ya vita ya koo, wizi wa mifugo Rorya
WILAYA ya Rorya iliyopo mkoani Mara ni miongoni mwa wilaya mpya hapa nchini ambayo pamoja na mambo mengine imekuwa ikisifika kwa baadhi ya wananchi wake kushiriki katika matukio ya ugomvi...
11 years ago
BBCSwahili27 Feb
Mashambulizi ya Boko Haram yakithiri
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Maandamano yakithiri Bangkok,Thailand
10 years ago
Habarileo13 Mar
Biashara ya fedha haramu yakithiri
KUSHAMIRI kwa fedha haramu nchini kunakofanywa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu ndani na nje ya nchi, kumeisababishia taifa hasara ya bilioni 590/- (dola milioni 328) kila mwaka, imeelezwa.
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Misungwi yakithiri kwa ukatili wa kijinsia
10 years ago
Mwananchi23 Feb
Maambukizi ya VVU yakithiri kwa wanaojidunga dawa za kulevya
5 years ago
Michuzi
KATA YA KITWIRU YAKITHIRI KWA VITENDO VYA UPORAJI NA UKABAJI.

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Wananchi wa kata ya Kitwiru Manispaa ya Iringa Wameiomba Serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama kuanzisha mkakati maalum utakaowashirikisha wakazi wa maeneo hayo ili kudhibiti ongezeko la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo matumizi yamihadarati aina...
11 years ago
Habarileo24 May
Serikali yakemea utesaji mifugo
SERIKALI imekemea tabia inayozidi kujengeka ya kutesa mifugo kwa kuinyima chakula na maji, kuipiga risasi au kuikata mapanga kwa kisingizio cha migogoro ya ardhi. Aidha, imesisitiza wafugaji kuheshimu shughuli za watumiaji wengine wa ardhi kwani jamii zote zinategemeana.