Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yakemea utesaji mifugo

SERIKALI imekemea tabia inayozidi kujengeka ya kutesa mifugo kwa kuinyima chakula na maji, kuipiga risasi au kuikata mapanga kwa kisingizio cha migogoro ya ardhi. Aidha, imesisitiza wafugaji kuheshimu shughuli za watumiaji wengine wa ardhi kwani jamii zote zinategemeana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali Bunda yakemea ukabila

MKUU wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, amekemea ubaguzi wa kikabila kati ya Wajaluo na Wajita, ulioanza kujitokeza katika Kijiji cha Karukekere, kilichoko wilayani Bunda, mkoani Mara. Mirumbe, alitoa onyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yakemea ushirikina Rungwe

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Moses Mashaka amekemea tabia ya wananchi wa wilaya hiyo kukumbatia imani za kishirikina na kusababisha kushika nafasi ya pili ngazi ya mkoa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kashfa ya utesaji watoto magerezani

>Ripoti mpya imebaini kuwapo kwa unyanyasaji mkubwa wa watoto wanaoshikiliwa kwenye magereza na mahabusu mbalimbali nchini.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAJIPANGA KUTOKOMEZA MAGONJWA YA MIFUGO NCHINI.


Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akikagua eneo linalotumika kuchoma nyama kwenye mnada wa Ndelema uliopo katika Halmashauri ya Mji wa Handeni Mkoani Tanga wakati akihitimisha ziara yake wilayani .
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akiangalia moja ya aina za samaki zinazopatikana katika bwawa la samaki la asili lililopo Kijiji cha Kweingoma Wilaya Handeni Vijijini.



Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza na wafugaji na...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATANGAZA BEI ELEKEZI YA CHANJO 13 ZA MAGONJWA YA MIFUGO


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Profesa Amandus Muhairwa baada ya kuiziduia bodi hiyo na kupokea taarifa ya kutangazwa kwa bei elekezi ya Chanjo Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akimkabidhi vitendea kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) baada ya uzinduzi wa Bodi ya TVLA Makao...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKA MKAKATI MADHUBUTI KUTOKOMEZA MAGONJWA SUGU KWA MIFUGO


 Na Mbaraka Kambona, Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeweka mkakati madhubuti wa kutokomeza Magonjwa yanayoandama mifugo ili kuwa na mifugo bora itakayozalisha kwa tija na kukuza uchumi wa nchi.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Tanzania, Profesa Hezron Nonga katika Mkutano wa 45 wa Baraza la Veterinari uliofanyika jijini Dodoma Juni 4,
2020.

Akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo, Profesa Nonga alisema kuwa Tanzania kuna...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAANZA MKAKATI WA MALISHO BORA YA KISAYANSI KWA AJILI YA MIFUGO.


Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza mara baada ya kukagua shamba darasa la malisho bora ya mifugo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida

Muonekano wa shamba darasa la malisho bora ya mifugo lililopo katika Kijiji cha Mahambe kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida.

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo Prof. Elisante Ole Gabriel akikagua mbegu za moja ya aina ya...

 

9 years ago

StarTV

Wafugaji Wilayani Serengeti waiomba serikali kuwarejeshea Eneo La Kuchungia Mifugo yao

Wafugaji wa vijii vinavyopakana na Hifadhi ya Serengeti katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wameiomba Serikali kuwarejeshea eneo la Kawanga walilokuwa wanalitumia kuchungia mifugo yao, ambalo lilichukuliwa na Serikali na kumpatia mwekezaji bila ya wao kushirikishwa.

Wakitoa kero zao kwa mbunge wa Jimo la Bunda, Boniphace Mwita, wakazi wa vijiji hivyo wameiomba Serikali kuwadhibiti wanyama aina ya Tembo, wanaotoka katika Hifadhi ya Serengeti ambao wamekuwa kero kubwa kutokana na kuvamia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani