Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa ya utesaji watoto magerezani

>Ripoti mpya imebaini kuwapo kwa unyanyasaji mkubwa wa watoto wanaoshikiliwa kwenye magereza na mahabusu mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Unyanyasaji wa watoto magerezani

Ripoti mpya imebaini kuwapo kwa unyanyasaji mkubwa wa watoto wanaoshikiliwa kwenye magereza na mahabusu mbalimbali nchini. Ripoti hiyo yenye kurasa 94 iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyochunguza hali za watoto magerezani na kwenye vituo vya polisi kwa mwaka 2012 na 2013, imebainisha kuwa walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwamo wizi wa kutumia silaha, dawa za kulevya, mauaji, ubakaji na uzururaji. Timu ya wachunguzi ya tume hiyo ilitembelea magereza na vituo vya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika ahusishwa na kashfa ya kuwauza watoto

Spika wa bunge la Niger ametoroka baada ya kamati ya bunge hilo kuafikia kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yakemea utesaji mifugo

SERIKALI imekemea tabia inayozidi kujengeka ya kutesa mifugo kwa kuinyima chakula na maji, kuipiga risasi au kuikata mapanga kwa kisingizio cha migogoro ya ardhi. Aidha, imesisitiza wafugaji kuheshimu shughuli za watumiaji wengine wa ardhi kwani jamii zote zinategemeana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Haki magerezani zakiukwa Congo

Shirika la haki za binadamu la ASPROVIKI nchini Congo limetaka Mkurugezi wa Gereza kuu la MUNZENZE afikishwe mahakamani.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafungwa wafanya ujangili magerezani

Kwa wiki ya tatu mfululizo magazeti ya Mwananchi Jumamosi na Jumapili yamekuwa yakikuletea Ripoti Maalumu kuhusu baadhi ya watu wanaoendesha uhalifu wakiwa gerezani hasa ujangili.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wengi wanaopata msamaha wa Rais hurudi magerezani’

Ripoti mpya ya utafiti imebainisha kuwa jitihada za Rais Jakaya Kikwete kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani kwa kutoa msamaha zinahitaji kufanyiwa marekebisho kwani zaidi ya asilimia 30 ya wanaonufaika nayo hurudi tena magerezani kwa makosa tofauti.

 

10 years ago

Tanzania Daima

“Haturuhusu wafungwa kufanya tendo la ndoa magerezani”

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imeendeleza msimamo wake kuwa Tanzania bado haina sheria ya kuwaruhusu wafungwa kukutana kifaragha na waume au wake zao. Hii ni mara ya tatu...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA POLISI KUACHA KUZALISHA MAHABUSU MAGEREZANI

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kuangalia aina ya makosa ya watuhumiwa ambayo yana dhaminika ili kupunguza mlundikano wa mahabusu Magerezani.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza na baadaye kuzungumza na Maafisa na Askari wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma, leo, Simbachawene alisema Jeshi hilo linakabiliwa na changamoto ya idadi kubwa ya mahabusu ukilinganisha na wafungwa waliopo...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA CGP KWA MABADILIKO MAKUBWA MAGEREZANI


  Na Felix Mwagara, MOHA, Morogoro.WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kasi ya utendaji kazi wa Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza Nchini, (CGP) Suleiman Mzee, imemfurahisha kutokana na mabadiliko makubwa ya maendeleo kwa kipindi cha muda mfupi tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo.
Akizungumza katika hafla ya kuzindua mashine ya kuchimbia ‘excavator’ iliyofanyika Gereza la Mbigili, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, jana Waziri Simbachawene alisema Jeshi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani