Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wengi wanaopata msamaha wa Rais hurudi magerezani’

Ripoti mpya ya utafiti imebainisha kuwa jitihada za Rais Jakaya Kikwete kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani kwa kutoa msamaha zinahitaji kufanyiwa marekebisho kwani zaidi ya asilimia 30 ya wanaonufaika nayo hurudi tena magerezani kwa makosa tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

THBUB: Msamaha kwa Wafungwa ni hatua muhimu kuzuia maambukizi ya Korona Magerezani

Na Mbaraka Kambona,

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa Mheshimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli wa kuwasamehe wafungwa 3973 ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na Virusi vya Korona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona.

Alieleza kuwa msamaha huo ni muhimu...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AWATAKA WANAOACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS KUFUATA SHERIA ZA NCHI

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka baadhi ya wananchi ambao ni washtakiwa au wafungwa wanaopata msamaha wa Rais kutoka gerezani, kuacha kujiingiza katika matukio ya uhalifu jambo ambalo nikinyume na sheria za nchi.

IGP Sirro amesema hayo akiwa kwenye ziara ya ukaguzi mkoani Singida ambapo alizungumza na Polisi Kata waliopo kwenye mkoa huo na kuwataka kuendelea kushirikiana na wananchi katika mapambano dhidi ya uhalifu ikiwa pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuacha...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA

Na Mbaraka Kambona, Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi  ya  maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona. 

Alieleza   kuwa msamaha huo ni...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO ATANGULIZA MSAMAHA WAKATI AKIMIMINIA SIFA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI KWA UTENDAJI KAZI WAKE

*Awaomba Watazania kumpa Rais Magufuli zawadi ya NDIYO katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu
Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango ameomba msamaha ili kutoa ushuhuda ushuhuda wake kuhusu Rais Dk.John Magufuli ambapo amesema Baba huyu(Dk.Magufuli) ni kiongozi mwenye maono na uwezo mkubwa.
Aidha, ana kipaji cha hali ya juu cha kufanya yasiyowezekana na ni kiongozi ambaye anafahamu vema kuwa ili nchi ifanikiwe kuleta mabadiliko chanya ni lazima kuvunja kabisa...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi wanaopata mikopo kuongezeka

 Cosmas MwaisobwaIDADI ya wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESB) inatarajiwa kuongezeka, mfumo mpya wa gharama halisi kwa wanafunzi utakapoanza mwaka ujao wa fedha.

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wanaopata maji wafikia 55%

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe.SERIKALI imesema kwamba sekta ya maji kwa kutumia mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) imeongeza wananchi wanaopata huduma ya maji kutoka milioni 15.2 Juni, 2013 hadi kufikia milioni 20.9 sawa na asilimia 55.

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanaopata ajali za mabasi walipwe fidia’

Waziri wa Sheria na Katiba, Asha- Rose MigiroWAZIRI wa Sheria na Katiba, Asha- Rose Migiro amewataka Watanzania kutumia Sheria ya Madhara kudai haki zao baada ya kupata ajali ya basi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbarawa aagiza wanaopata maji wafike milioni 1 mwakani

Siku moja baada ya kuapishwa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa ameliagiza Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) kuongeza idadi ya wateja kutoka 148,000 hadi milioni 1 ifikapo Juni 2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani