Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wanaopata ajali za mabasi walipwe fidia’

Waziri wa Sheria na Katiba, Asha- Rose MigiroWAZIRI wa Sheria na Katiba, Asha- Rose Migiro amewataka Watanzania kutumia Sheria ya Madhara kudai haki zao baada ya kupata ajali ya basi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka marekebisho ya sheria kuwapa haki abiria wa mabasi kudai fidia

Katibu Mtendaji wa Sumatra CCC, Oscar Kikoyo SERIKALI imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria za usalama barabarani ziwezeshe kutoa haki kwa mtumiaji wa mabasi anapopata ajali, alipwe bima kama ilivyo kwa watumiaji wa ndege na meli.

 

11 years ago

Mwananchi

Ongezeko la ajali za barabarani, madhara yake kiuchumi na haki ya kudai fidia

Ajali za barabarani zimekuwa ni janga kubwa kwa taifa letu. Ajali hizi kwa muda wa hivi karibuni zimeongezeka sana na kusababisha watu kufariki dunia, kupotelewa mali, kupata majeraha, kupata ulemavu wa kudumu na watu wengi wamejikuta maskini kwa sababu ya ajali za barabarani. Wengine wanafia njiani wakihangaika kupata haki zao.

 

11 years ago

Michuzi

Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva

Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali za mabasi zaua 10

AMINA OMARI NA OSCAR ASSENGA, HANDENI
WATU 10 wamefariki dunia papo hapo na wengine 35 wamejeruhiwa baada ya mabasi mawili ya abiria na gari dogo kugongana.
Kati ya majeruhi hao, saba hali zao ni mbaya na walikimbizwa Hospitali ya Wilaya ya Handeni kutoka Kituo cha Afya Mkata walikokuwa wakitibiwa.
Ajali hiyo ilitokea jana mchana katika Kijiji cha Mbweni kilichopo Mkata, Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma...

 

11 years ago

Habarileo

Mabasi yapata ajali na kujeruhi 29

WATU 29 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea katika barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam kwenye maeneo ya Mikese na Mkambalani, mkoani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Abiria chanzo cha ajali za mabasi’

Kamati ya watu 14 iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kufuatilia chanzo cha ongezeko la ajali za mabasi, imebaini kuwa abiria wanashawishi madereva kuendesha mabasi kwa kasi na hivyo kuwa sehemu ya sababu za kuongezeka kwa ajali.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya mabasi yaua 12 Handeni, Mikumi

>Watu 12 wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea Handeni, Tanga na Mikumi, Morogoro zikihusisha mabasi ya abiria.

 

10 years ago

Mwananchi

Wamiliki wa mabasi waeleza sababu za ajali barabarani

Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimesema kutosimamiwa vizuri kwa ratiba za mabasi za kuondoka eneo moja kwenda lingine, ni miongoni mwa mambo yanayochangia ajali za barabarani kutokana na madereva kukimbizana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani